Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hatutawasamehe bure hawa ndugu zetu wanaosusia usajili wa Lukaku
Mechi kumi tu za Lukaku lazima kuna mashabiki humu watachoma nyama ya kuomba msamaha
Kwa wale wa Arusha kuna Muriet Mahakama ya Nyama choma
Kwa wale wa Dar pendekeza eneo
Na miji mingine hivyo hivyo
Tukumbushane baada ya mechi dhidi ya Newcastle, Burnely, Leicester city au Manyumbu United
Ikiwa Lukaku hajafunga goli angalao 8 sis tunaounga usajili huu tutawachomea nyama hao ndg zetu wenye hisia tofauti
Ila kama Lukaku atakuwa amefunga angalau goli 8 kwenda juu wao itabidi watuchomee nyama
Ushauri huu unahusika kwa mechi 10 alizocheza Lukaku kwa kuanza
Hii posti nai hifadhi.
Kwani me ni mmoja wapo kati ya wanaompinga, japo hayanihusu.

Makaku afunge goli 8 kwenye game 10? Naacha kuchimba narudi kukaakijiweni kungoja ajira ya serkali.
 
Hii ni kwa mashabiki wa Chelsea tu
 
Nilikuambia me usiende Doha, kule tende halua ndio zao, umeona sasa umekua laini!
Ubaguzi gani niliounesha au hujui kua Makaku (inaandikwa macaco) maana yake ni nyani?
Hahahahaha skia sasa mkuu nataka nije maeneo huko kuchimba mzigo, au naeza tolewa kafara nini..
 
Hii posti nai hifadhi.
Kwani me ni mmoja wapo kati ya wanaompinga, japo hayanihusu.

Makaku afunge goli 8 kwenye game 10? Naacha kuchimba narudi kukaakijiweni kungoja ajira ya serkali.
Lukaku atawabamiza nyie vinabo hadi mkome..ngoja jembe liingie darajani huu msimu mtajuta kumjua Lukaku nyie manure ...sisi ndio Chelsea..
 
Hatutawasamehe bure hawa ndugu zetu wanaosusia usajili wa Lukaku
Mechi kumi tu za Lukaku lazima kuna mashabiki humu watachoma nyama ya kuomba msamaha
Kwa wale wa Arusha kuna Muriet Mahakama ya Nyama choma
Kwa wale wa Dar pendekeza eneo
Na miji mingine hivyo hivyo
Tukumbushane baada ya mechi dhidi ya Newcastle, Burnely, Leicester city au Manyumbu United
Ikiwa Lukaku hajafunga goli angalao 8 sis tunaounga usajili huu tutawachomea nyama hao ndg zetu wenye hisia tofauti
Ila kama Lukaku atakuwa amefunga angalau goli 8 kwenda juu wao itabidi watuchomee nyama
Ushauri huu unahusika kwa mechi 10 alizocheza Lukaku kwa kuanza
Huyo kiloba kwa muda huo hata goli tano cjui kama atakua amefikisha.
 
Naona mwanangu papaa gx keshakula ban, nani kasababisha mshikaji kula red card hapa jeiefu?? Au ni huyu Kitoabu nini..
Papaa GX mbona ndugu yangu wa faida! Sina chuki nae hata kidogo.
Itakua kalikoroga maeneo mengine huko, wenda jukwaa la Siasa, siunajua kule wenye serkali yao wako wengi, ukizingua kidogo tu, umeme unakuhusu.
 
Hii posti nai hifadhi.
Kwani me ni mmoja wapo kati ya wanaompinga, japo hayanihusu.

Makaku afunge goli 8 kwenye game 10? Naacha kuchimba narudi kukaakijiweni kungoja ajira ya serkali.
Ajira ya serikali huwezi pata ushakuwa kibabu wewe.

Endelea kuchima lukaku lazima akutoe mkuku
 
Siwezi kufikiliwa hata kumuendesha waziri jamani?
Mbona leseni yangu inasoma vizuri tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom