Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,507
- 14,804
Kelele zote kumbe hatujawai kupeleka ofa yoyot kwa haaland ila tunapeleka ofa ya pili kwa lukaku mchezaji ambaye bado anatamani kubaki inter
Do your math dogo, kaangalie namba tu zitakujibuAuba ndio anajua kufunga?
We jamaa sijui kama unatumiaga logical side of your brain, yaani Kane atoke spurs auzwe Cheltako, hujui fierce affair iliyopo au unadhani unanunua nyanya?Kwa maoni yangu naona deal la Haaland au Kane ndio rahisi kuliko la Lukaku
- Dortmund wakipewa ofa nzuri watapokea kwa sababu hata mwakani anaweza kuondoka kwa bei rahisi karibu nusu ya pesa ambayo wangepata msimu huu. Na pia Dortmund wameshamnunua replacement wake.
- Harry Kane anaonyesha kuwa na ugomvi na bodi kwa sababu ya ukame wa Spurs kwenye vikombe, na naona Kane kakasirika zaidi baada ya England kutoka kapa kwenye michuano ya Euro 2020. Sasa Chelsea wakitoa ofa nzuri kwa Spurs wanaweza kumuachia kirahisi.
Hahahahah wrwe jamaa fala sanaAcheni ufala na majezi yenu ya njano ,kama unga wa yelekoni aiseee
Hamjaona Uzi wa ze cityzen kweli
Mnasikitisha sana
Wewe labda utuletee lupatu[emoji1787]Mchukueni Kitoabu, huyo jamaa ni noma kwa mipira ya kichwa.
Anapiga miguu yote kama Ronaldo, binafs namkubali sana huyu jamaa.
Tatizo labda liwe ni fungu la pesa, maana club yake itahitaji pesa nyingi ili kumuachia.
Mechi anayocheza kepa ujue lazima tufungwe[emoji1787]Kepa ameingia dakika 2 tuu goal
Asernal ilishajifia tangu asepe WengerAfu Arsena kufa ni ndoto, hii ni taasisi ligi hatujabeba toka 2004, Uefa toka 2016 hatujaenda lkn wauni tunadunda, jaribu wewe kitimu cha uchochorini tukuzike mazima.
😕😕😕😕We jamaa sijui kama unatumiaga logical side of your brain, yaani Kane atoke spurs auzwe Cheltako, hujui fierce affair iliyopo au unadhani unanunua nyanya?
Ila pia ukumbuke tunahitaji long term replacement ya kina azpi, na Silva ambae huu NI msimu wake WA mwsho pale Chelsea baada y kuongeza mkataba wa mwaka mmoja......Zouma anaweza asifae kwenye mfumo wa TT wa back 3 lakini tukumbuke kuwa Zouma ni mzuri kwenye haya maeneo
Tatizo lake kubwa ni
- Mipira ya juu
- Ana speed
- Anajua kuzuia mashambulizi
- Ni mzuri kwenye set pieces na hasa magoli ya vichwa ambayo Chelsea ina uhaba sana wa magoli
- kukosa concertation na
- papara kama vile anavuta bangi sometimes
Baada ya kusema hayo Chelsea kama wanamuuza wasimuuze kwa bei chee
Zouma anaipenda Chelsea na amedai yuko tayari kubaki Chelsea na kama atauzwa basi naona anapendelea EPL, ni ligi aliyoizoe
Hakuna kitu kama hikoChelsea name Jorginho, 7 others among players they will sell to raise funds for Haaland deal
Chelsea could be planning to shake up their squad that won the Champions League title last campaign They are hoping to secure the services of Romelu Lukaku and Erling Haaland before this transfer window closes The Blues have named Jorginho, Rudiger and Abraham among stars who could be shown the exit doors this summer
Mapesa tulio uza akina Fikayo na UCL WANAYAFANYIA NN?Amini Amini nawaambia dirisha hili la USAJILI tutatoka mikono mitupu.
Inter wamepiga chini ofa yetu ya kumnunua Lukaku £100 + ALONSO. Lukaku hauzwi
Bodi wameachana na Haaland.