Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,321
FUNNY FACT
Huwa najiuliza sana huyu Lukaku siku akistaafu soka atanenepa kiasi gani, kama sasa hivi anapangiwa diet na mazoezi magumu anafanya na yupo hivi,
Je siku akistaafu soka na kupata uhuru wa kula anavyotaka na kustarehe anavyotaka je atanenepa kiasi gani.
Nahisi atakuwa mara 2 ya De lima😂