lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,696
- 25,911
Inavyoelekea Chelsea hawana tena hamu ya kumsajili striker. Tutapambana na akina Broja, Havertz, Werner, Ziyech, Odoi, Tammy Abrahama na ikiwezekana Micy Batshuayi
Defense yetu ikilegea kidogo tu mwakani tusahau top 4
Defense ikiendelea kuwa imara hata EPL tutapambana pale juu
Defense yetu ikilegea kidogo tu mwakani tusahau top 4
Defense ikiendelea kuwa imara hata EPL tutapambana pale juu