Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,112
- 126,063
Shukrani sana mzee babaBingwa wa Europa na UCL tayari wao ni washiriki wa UCL group stage
Shukrani sana mzee babaBingwa wa Europa na UCL tayari wao ni washiriki wa UCL group stage
Inavyoelekea wote hao imeshindikana angalau kwa msimu huuThe BLUES kwa ukubwa wetu (kimafanikio kimataji + Pesa) tunatakiwa kusajili striker mmojawapo kati ya wafuatao sokoni:-
1. Lewandoski
2. Kane
3. Lukaku
4. Haaland
The BLUES kwa ukubwa wetu (kimafanikio kimataji + Pesa) tunatakiwa kusajili striker mmojawapo kati ya wafuatao sokoni:-
1. Lewandoski
2. Kane
3. Lukaku
4. Haaland
Kiloba kile.Cash Money Forever Lukaku amaewapita kwa takwimu washambuliaji wote waliowahi kupita Pale darajani asee inabidi ajee na kwa jinsi tunavyotengeneza nafas asee can't imagine
Na bado siku 13 ligi ianzeUmebaki MWEZI 1 KAMILI, dirisha la usajili lifungwe.
[emoji117] Tumefanya sajili moja ya kipa namba 3
[emoji117] Kounde mazungumzo yanaendelea
[emoji117] Haaland giza nene
[emoji117] Lukaku giza nene
Hapa chukua Lukaku ndo uhakika maana InterMilan kwa sasa hawana pesa hadi Conte kaamua kusepa.The BLUES kwa ukubwa wetu (kimafanikio kimataji + Pesa) tunatakiwa kusajili striker mmojawapo kati ya wafuatao sokoni:-
1. Lewandoski
2. Kane
3. Lukaku
4. Haaland
Nani mwanao hapa huna mtoto hapa ..hehehe!!Wanangu naona mnafuraha na mizuka kinomaa.
Mzee at least tusajili beki mmoja hii idea ya kumsajili kounde n nzuri.....Kwanza long replacement ya azpi (ambaye umri umeenda na Kasi yake na mikiki ya EPL itaweza kushuka) pia thiago Silva ni injury prone ...lkn pia hata Christensen km unakumbuka kuna baadhi ya games alikosekana za msimu uliopita lkn sio nyingi ..na pia katoka kwenye injury ya euro...kounde anafaa Kwa falsafa ya master TT.....na pia DM mmoja au tunaweza mtumia Ethan ampadu km backup ya kanteCash Money Forever kwa maoni yangu naona tuna uhitaji wa eneo la ushambuliaji kuliko hata kwa eneo la uzuiaji wats ur take katika hili
Mchukueni Kitoabu, huyo jamaa ni noma kwa mipira ya kichwa.MAONI YAKO SHABIKI WA CHELSEA
[emoji419]#HAALAND - Klabu yake (borrusia dortmund) imegoma kumuuza.
[emoji419]#ROMELU_LUKAKU - amesema haondoki katika klabu yake (Intermilan) na wamesema hauzwi.
[emoji419]#HARRY_KEANE - Klabu yake (tottenham hotspur) imegoma kumuuza.
[emoji419]#ROBERT_LEWANDOWSK - Klabu ya (bayern munich) imegoma kumuachia na imesema hauzwi.
[emoji838]#maoni yako shabiki wa Chelsea Football Club tusajili striker (mshambuliaji) gani wa daraja la juu katika kipindi hiki ambacho tunashida ya foward.
[emoji837]#mimi binafsi namuunga mkono legend DIDIER DROGBA tumsajili RICHARLSON