Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

IMG_20210729_173758.jpg
 
Acheni ufala na majezi yenu ya njano ,kama unga wa yelekoni aiseee

Hamjaona Uzi wa ze cityzen kweli

Mnasikitisha sana
 
Oya wadau naomba kuuliza,

Hv mshindi wa UCL akimaliza nje ya wale wanaotakiwa kucheza uefa anaweza kucheza UCL kwa sababu yeye ni bingwa mtetezi.?
Mfano chelsea ameshinda UCL halafu labla kwa bahati mbaya kwenye ligi akawa nje ya top four je angeshiriki UCL kwa sababu yeye ni bingwa mtetezi.?
 
Refer 2012 kisha utapata jibu.

Duh chief uefa ya 2012 umeshasahau

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Huu mfumo wa 343 ni kitasa/ulinzi shirikishi, hauachi magaps uwanjani. Uendelee kuwa mfumo mama.

Kama utabadilika, ubadilikie uwanjani kadri mechi inavyokwenda.
Halafu nasikia Chelsea wamehamishia nguvu zao kwa Lukaku baada ya dili La Halaand kuonekana kufeli. Je Lukaku ataweza kutupatia angalau magoli 20+ kwa msimu ikiwa chini ya Mourihno alionekana kufeli..?
 
JEZI YA NJANO KWA CHELSEA:

Msimu wa 2008/2009 klabu ya Chelsea ilipotumia jezi ya njano kwenye mechi za ugenini, Chelsea ilifanikiwa kutwaa taji la FA msimu huo.

Msimu wa 2014/2015 klabu ya Chelsea ilipotumia jezi ya njano kwenye mechi za ugenini, Chelsea ilifanikiwa kutwaa taji la ligi kuu England msimu huo.

Msimu wa 2018/2019 klabu ya Chelsea ilipotumia jezi ya njano kwenye mechi za ugenini, Chelsea ilifanikiwa kutwaa taji la Europa league msimu huo.

Msimu wa 2021/2022 klabu ya Chelsea itatumia jezi ya njano kwenye mechi za ugenini,
Jee Chelsea itafanikiwa kutwaa taji lolote msimu huu kama ilivyokuwa kwenye misimu mingine?
 
Oya wadau naomba kuuliza,

Hv mshindi wa UCL akimaliza nje ya wale wanaotakiwa kucheza uefa anaweza kucheza UCL kwa sababu yeye ni bingwa mtetezi.?
Mfano chelsea ameshinda UCL halafu labla kwa bahati mbaya kwenye ligi akawa nje ya top four je angeshiriki UCL kwa sababu yeye ni bingwa mtetezi.?
Bingwa wa Europa na UCL tayari wao ni washiriki wa UCL group stage
 
DIDIER DROGBA ATOA USHAURI KWENYE USAJILI CHELSEA

📌mchezaji wa zamani chelsea didier drogba amesema ni bora chelsea kuachana na wachezaji wenye majina makubwa katika kipindi hiki cha usajili na badala yake wamsajili mshambuliaji wa timu ya taifa brazil RICHARLSON anayechezea kwenye klabu ya evarton

📌DIDIER DROGBA amesema Richarlson ni mshambuliaji anayemkubali katika kipindi hiki na kama akijiunga na Chelsea Football Club atafanya makubwa sana ""huyu ni kama dhahabu iliyojificha naamini akitua chelsea atang'aa""

🔵Nakubaliana na didier drogba 100%..shabiki toa maoni yako
 
Dooh Richarlison kabisa?
 
DIDIER DROGBA ATOA USHAURI KWENYE USAJILI CHELSEA

mchezaji wa zamani chelsea didier drogba amesema ni bora chelsea kuachana na wachezaji wenye majina makubwa katika kipindi hiki cha usajili na badala yake wamsajili mshambuliaji wa timu ya taifa brazil RICHARLSON anayechezea kwenye klabu ya evarton

DIDIER DROGBA amesema Richarlson ni mshambuliaji anayemkubali katika kipindi hiki na kama akijiunga na Chelsea Football Club atafanya makubwa sana ""huyu ni kama dhahabu iliyojificha naamini akitua chelsea atang'aa""

Nakubaliana na didier drogba 100%..shabiki toa maoni yako
Wachezaje wengi kama hawa wanashindwaga kuperform kwenye timu kubwa
 
Hata hao wachezaji wanaokujaga ku perfom kwnye team kubwa Hua wanatokaga kwnye team ndogo rejea Drogba kutoka Olympic Marseille Richarlson amepiga hatrick ndan ya dakika 30 Olympic kwa nn asipewe nafas na amefunga Everton ambapo nafas wanatengeneza chache kuliko Chelsea nafas kila kukicha ila magoli machache rejea game dhid ya Arsenal nafas moja Richarlson akafunga hyo hyo
 
Ivan Toney niliwa mzungumzia hapa, saizi naona tunahusishwa kumsajili. Dogo yuko vizuri sana tumchukue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom