Chelsea wame peleka bid ya pili kwa Lukaku
Tunasubiri majibu
Huku nyuma niliwahi kumtetea Lukaku kuwa ni mfun gaji mzuri kuliko strikers tulionao na kuna baadhi wanamkebehi na kumuona hafai kwa sababu ya uzito wake
Kwangu mimi Lukaku anatetewa na takwimu za ufungaji wake, ni striker mwenye uwezo wa kuforce magoli na yuko sharp na anaona goli hata kama physically haangalii goli. Ana uwezo wa kukaa na mpira na kwa umbile lake ni stable na ni ngumu kumshinda kwa ugali
Chelsea leteni Lukaku darajani, hatutaki sura nzuri za mastrikers kama ya akina Morata
Tunahitaji mharibifu kule mbele, mtu asiyetumia demokrasia kwenye kufunga, mtu ambaye akiwa mbele unajipigia tu mpira uende mbele yeye anajua cha kufanya na huo mpira
Wenye uwezo huo kwa sasa ni Haaland, Kane na wakishindikana hao wawili basi Lukaku ni option ya tatu