lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Klabu huwa haigomi kuuzwa mchezaji ndugu, mchezaji anaweza goma kuuzwa klabu hii au ile ila hagomi kuuzwa kabisaMAONI YAKO SHABIKI WA CHELSEA
📌#HAALAND - Klabu yake (borrusia dortmund) imegoma kumuuza.
📌#ROMELU_LUKAKU - amesema haondoki katika klabu yake (Intermilan) na wamesema hauzwi.
📌#HARRY_KEANE - Klabu yake (tottenham hotspur) imegoma kumuuza.
📌#ROBERT_LEWANDOWSK - Klabu ya (bayern munich) imegoma kumuachia na imesema hauzwi.
🔵#maoni yako shabiki wa Chelsea Football Club tusajili striker (mshambuliaji) gani wa daraja la juu katika kipindi hiki ambacho tunashida ya foward.
🔴#mimi binafsi namuunga mkono legend DIDIER DROGBA tumsajili RICHARLSON
Kinachotokea ni kwamba Chelsea hawajafanya seriousness kwenye manunuzi, tumeishia kupewa hopes za bure na media ambazo wao wanauza taarifa za tetesi ili media zao zipate mapato
Sioni serios bid iliyofanywa rasmi na Chelsea kwa Haalnd, Lewandoski, Lukaku au Kane
Chelsea labda wanaogopa wasipigwe faini za matumizi mabaya ya fedha kwa sababu hao wachezaji wote ni bei ghali na ili ununue mchezaji wa ghali ni lazima manunuzi yalandane na mapato

...