Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Anarudi legend wetu yule hatuna tatizo nae...tunataka aje kustafia kwetuWe jamaa, Giroud kacheza dk ngapi kabla ya kuwakosa penalt?
Naona Hazard alichemka kuondoka Chelsea
Anarudi legend wetu yule hatuna tatizo nae...tunataka aje kustafia kwetuWe jamaa, Giroud kacheza dk ngapi kabla ya kuwakosa penalt?
Naona Hazard alichemka kuondoka Chelsea
Mwenetu yule..mda wote anarudiHazard nasikia kapotea njia akajikuta yuko dressing room ya Chelsea kusheherekea ushindi
Ila huyu mzee benzema ni fundi aisee amezeeka na utamu wake
Mimi siwezi bishana na kichaa ,kwa sababu anajua kupayuka tu bila sababu ...Man shit yenyewe ni underdog au ni kwamba hufahamu??
Hivi unajua maana ya underdog kwanza???maana unaruka rukaMimi siwezi bishana na kichaa ,kwa sababu anajua kupayuka tu bila sababu ...
Chelsea ni underdog kwa city ,mfano mzuri itakuwa jmoss ..
Final uefa ,Chelsea vs city ,Chelsea ni underdog tu
Nilikwambia mkija na huo mfumo wenu wa 4+3+3 mtakufa vibaya sn. Ni bora mngerudi ktk 3+5+2 kidogo mlikuwa solid. Lkn hii 4+3+3 mlikuwa ktk hatari ya kufungwa ata kumi. Kai peke yake kakosa mbili za wazi. Moja kipa wenu kasave ingine kapiga kichwa ikagonga bomba la goli. Mount alikosa la wazi kabisa akapaisha juu. Kante na yeye kipa wenu akasave. Ziyench na yeye akajiangusha anataka penati lkn angekaza pale mlikua mnakufa.Roho iniume wakati mi mwenyewe nina janga langu linanisubiri.
Chelsea imewahi kubeba kombe la UEFA man shit bado. Man shit anaingia km underground au armature... Kwahiyo usijidanganye kuongoza ligi ukajiona ktk UEFA wewe ni mbabe. Yaani wewe ni kibonde tu ktk UEFA na ndio sbbu baada ya kitinga fainali timu lako limeweka pati ya kufa mtu wakishangilia kuingia fainali km wamebeba ndoo. Maana kwao ni vitu vigeni na ndio mara ya kwanza.Mimi siwezi bishana na kichaa ,kwa sababu anajua kupayuka tu bila sababu ...
Chelsea ni underdog kwa city ,mfano mzuri itakuwa jmoss ..
Final uefa ,Chelsea vs city ,Chelsea ni underdog tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanaume tumekaa kwenye uzi wetu tunajadili mambo ya timu yetu, wewe unapita mbele yetu na kanga moja iliyolowa maji huku unatingishia wowowooo.
Yote hupangwa na munguChelsea walifanya usajili mzuri ila wakasahau kufanya usajiri mzuri wa kocha TT angeanza na hii timu tangu mwanzo msimu saa hizi city gape ya Epl isingekuwa hivi
Mbona jana Madrid karudia 3 5 2.Nilikwambia mkija na huo mfumo wenu wa 4+3+3 mtakufa vibaya sn. Ni bora mngerudi ktk 3+5+2 kidogo mlikuwa solid. Lkn hii 4+3+3 mlikuwa ktk hatari ya kufungwa ata kumi. Kai peke yake kakosa mbili za wazi. Moja kipa wenu kasave ingine kapiga kichwa ikagonga bomba la goli. Mount alikosa la wazi kabisa akapaisha juu. Kante na yeye kipa wenu akasave. Ziyench na yeye akajiangusha anataka penati lkn angekaza pale mlikua mnakufa.
Na bora kipindi cha kwanza Benzema alipiga ata mashuti mawili golini moja la kichwa na jingine la mguu Mendy aka save yote. Lkn kipindi cha pili Benzema alipotea kabisa uwanjani. Hazard ndio usieme kabisa. Vini Jr ndio kabisa alipotea. Asensio nae aliimgia kuruka ruka tu akapotea. Kroos na Casamiro ndio walishindwa kabisa hawajui wafanye nini. Modric alowekewa mariking kweli kila anapoenda walihakikisha anafuatwa maana huyo ndio mchezaji wenu Hatari. Ramos ndio alipotea kabisa maana alikuja anafikiri anacheza na Mohammed Salah. Amekutana na majerumani mawili huko mbele yamemkimbiza vibaya sn mpk kalala na viatu.
Nacho na Militao ndio walikua uchochoro tu. Wanawasindikiza watu kwa macho.
Mkiambiwa Chelsea ni unstable muwe mnasikia. Nilishawaambia kua haya makombe ya FA na UEFA yanazagaa zagaa tu hovyo hakuna wa kuyachukua sasa Ngoja Thomas Tuchel ayachukue yote ndio mtaifahamu Chelsea kuwa ni kiboko ya timu za Spain. Waulize Barca mwaka 2012 tuliwafanya nini huku tukiwa pungufu uwanjani? Muulize Diego Simeon na ATM yake ndani ya dk 90 hakua na shuti ata moja on tareget. Seuzi hii Madrid iliyo jichokea km mgonjwa wa kooona......
Tukutane Istanbul tarehe 29 uje ushuhudie tunavyo mduga City.....
Madogo wanaspeed balaaa, guardiola ajipange vizur kwenye ukutaHONGERENI SANA THE BLUES KWA KUFUZU FAINALI.
Hongera kwa wachezaji na benchi la ufundi. Ilikuwa ni mechi ya jasho na damu na zaidi kimbinu zaidi.
Kila mchezaji alijitoa na kujituma kwa 100%, hongera za kipekee kwa Captain Azipu, katili Rudger, Kante, Kai & Mendy.
Kiukweli Madrid walilemewa, tumewapigia mpira mkubwa sana. Tunastahili kubeba hili kombe Mungu akipenda.
Next EPL match vs Man city let's go BLUES.
#Pride of London View attachment 1774897
Alirudi baada ya kuona yuko ktk hatari ya kufa nyingi baada ya kuona 4+3+3 inamletea madhara. Tena ata alivyorudi akachemka tu...Mbona jana Madrid karudia 3 5 2.
Ila haya ni maajabu nimeyaona juzi kwa Blackpool na Doncaster na jana. Yaani timu inamiliki mpira kwa zaidi ya 60% ila inazidiwa mashuti na inapigwa vyuma viwili
Sevilla alifungwa 4-0Chelsea Vs Laliga Giants
Sevila 0 vs Chelsea 0 1st leg
Chelsea 4 vs Sevila 1 2nd Leg
Chelsea 1 vs Atlentico Madrid 0 1st Leg
Atlentico Madrid 0 vs Chelsea 1 2nd leg
Real Madrid 1 vs Chelsea 1 1st Leg
Chelsea 2 vs Real Madrid 0 2nd Leg
![]()
Anarudi kuchukua nafasi ya nani pale?Anarudi legend wetu yule hatuna tatizo nae...tunataka aje kustafia kwetu
Usijali, underdog atampiga vilivyo overdog 😉Mimi siwezi bishana na kichaa ,kwa sababu anajua kupayuka tu bila sababu ...
Chelsea ni underdog kwa city ,mfano mzuri itakuwa jmoss ..
Final uefa ,Chelsea vs city ,Chelsea ni underdog tu
Bench warmer hahahaAnarudi kuchukua nafasi ya nani pale?