Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23] Tumekiwashaa sasa timu ilikuwa haipewi nafsi kubwa sasa imefika final [emoji170][emoji170][emoji170]

Man city vibonde wetu[emoji23][emoji23][emoji23]
Chelsea walifanya usajili mzuri ila wakasahau kufanya usajiri mzuri wa kocha TT angeanza na hii timu tangu mwanzo msimu saa hizi city gape ya Epl isingekuwa hivi
 
Jana nilikuwa naomba Mungu tuu Kante awe kwenye ubora wake kwa sababu Kroos na Modric walipania sana game, majamaa wamejuta kukutana na binadamu mwenye mapafu ya farasi [emoji23]
Match ya Chelsea Jana ni watu wanne walioipa ushindi
Silva, Rudiger, Kante na Kai
Kwa sasa chelsea wanakosa Finisher yule Timo ni kiungo zaidi kuliko mshambuliaji Jana angeanza giroud habari ingekuwa nyingine au chelsea wangekuwa na Aguero mechi ingeisha mapema tu
 
Umemsahau kijana mount aisee huyu ni mtu na nusu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom