


...Tungekua karibu ningekuambia tuweke dau
Nakuonaga unaakili kumbe kichwani mweupe kabisa. Huyo basha ako lampard hajasaidia chochote zaid y uwezo wa wachezaji.Ila hapa tusisahau Frank Lampard. Aliichonga na kuisaidia sana timu kuvuka kabla ya kuanza kupata matokeo mabovu. So ni kuna watu wawili kwenye hili kombe, FL na TT
Aise mkuu hapa hakukaliki Sasa .. hahahahaHii thread ni imekuwa moto kwao
Leo wajinga wajinga wote mlio vamia hili jukwaa baada ya mechi mtapoteana sana na hamto amini kitakacho tokea.

Nabii Tito katika ubora wakeThomas ni kocha wa ajabu kuwahi kutokea, leo mnakufa kwa ujinga wa kuanzisha wakabaji

The Bluesssss!!!! 💪💪💪 Nguvu moja, Man City aiiisee kwa mara kwanza anafika FINAL kwao ni sherehe 😂😂😂 wasubili maumivu...🤣
The Bluessssss💙💙💙
Mikumi ayseee...Mitano kwa kipa
POINTIla hapa tusisahau Frank Lampard. Aliichonga na kuisaidia sana timu kuvuka kabla ya kuanza kupata matokeo mabovu. So ni kuna watu wawili kwenye hili kombe, FL na TT
kroos na madric hawatamsahau huyu mwambaN'Golo Kante and #UCL Man of the Match awards - the perfect pair. 🤌 View attachment 1774798
Pole sana mkulungwa, tuombee tu bahati ktk fainali ili tubebe kabisa ndoo huenda Arsenal FC itajifunza kitu kupitia sisi Chelsea FC.Hongereni sana hii ndio maana ya kuitwa Big club pale kocha anapoleta mambo ya kishoga mnamtimua sio sisi kocha mambo yake ya kishoga mpaka sasa anamaliza msimu na hana dalili ya kuondoka next season
Hahaha umempa za uso mpaka anaona kiza, yaani jitu limetumia paund karibu mil 200 then timu inashika nafasi10 linakimbizana na vibonde arsenal ndio tulikumbuke kweli?Nakuonaga unaakili kumbe kichwani mweupe kabisa. Huyo basha ako lampard hajasaidia chochote zaid y uwezo wa wachezaji.
Hazard anamtolea Rudiger laana...

Kacheza Sana leoKai Havertz a serious baller
Na alikua atushushe daraja, asa huyu kiarage sijui anaongea nini.Hahaha umempa za uso mpaka anaona kiza, yaani jitu limetumia paund karibu mil 200 then timu inashika nafasi10 linakimbizana na vibonde arsenal ndio tulikumbuke kweli?