Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jana ilivyofanyika sub Madrid wakaingia madogo wakina Asensio halafu ukimwangalia Captain Azipu kashavuja jasho mpaka tone la mwisho nikajikuta napiga kelele TT INGIZA JAMESSSSSSSSSSS.
Babu Azpilicueta Jana alichoka sn.

Unajua yeye ndio alikuwa anapanda mbele sn kusaidia mashambulizi kwsbbu upande wake ule wa Hazard haukuwa na madhara sn na Hazard hana kasi km dogo Vini Jr. Kwahiyo alichoka sn kupanda na kushuka. Ben Chilwell alikuwa anapanda mara moja moja sn. Na ndio sbbu Madrid walikuwa walipiga mipira mirefu kwa Vini Jr Ben alikuwa na yeye yupo kuzuia hatari.
 
Wewe hujui maana ya underdog
Underdog sio kama unavyofikiri wewe
Chelsea walivyocheza vizuri hadi kufika fainali na uzoefu walionao kwenye haya mashindano inatosha kutowafanya wao underdog mbele city
City hawajawai kufika nusu fainali wala fainali wala kubeba kombe hili,
Mbele ya Chelsea City ni underdog tu kwa sababu hawana uzoefu wowote na haya mashindano
Huyo kaanza kushabikia mpira juzi hayajui hayo...
 
According to The Sunday World, they are looking to sign a new centre back, a new winger, and a new centre forward.

PSG centre back Marquinhos, Dortmund winger Jadon Sancho, and Inter Milan striker Romelu Lukaku are the players Chelsea are targeting.

Lukaku is nothing new, we have been hearing these links for a while, but Chelsea being back in for Sancho is a new development, despite being previously linked.

Marquinhos has had his name whispered with Chelsea interest previously, but nothing major really until this one.
 
Sidhani.

Sijui kwanini hamtaki kurefer kipindi chake na PSG
Wachezaji ambao wapo Chelsea na PSG wapo tofauti kimbinu neymar, Mbappe na Di Maria hawapress Wala hawakabi sometime wailetea matatizo team nzima ukija Chelsea wachezaji wengi wapo vizuri kimbinu ndio utofauti unaanzia hapa.
 
Thomas Tuchel sasa yametimia
IMG_20210506_100537.jpg
 
According to The Sunday World, they are looking to sign a new centre back, a new winger, and a new centre forward.

PSG centre back Marquinhos, Dortmund winger Jadon Sancho, and Inter Milan striker Romelu Lukaku are the players Chelsea are targeting.

Lukaku is nothing new, we have been hearing these links for a while, but Chelsea being back in for Sancho is a new development, despite being previously linked.

Marquinhos has had his name whispered with Chelsea interest previously, but nothing major really until this one.
Hizo ni fake news

Winger wa nini
Sisi tunamtaka world class striker basi, hao wengine ni bonus ya BOSS
 
Wachezaji ambao wapo Chelsea na PSG wapo tofauti kimbinu neymar, Mbappe na Di Maria hawapress Wala hawakabi sometime wailetea matatizo team nzima ukija Chelsea wachezaji wengi wapo vizuri kimbinu ndio utofauti unaanzia hapa.
Kwani ni lini chelsea ilikua haikabi?

Kusema kwamba Thom kaifundisha chelsea kukaba?

Mko na Lampard mnapress, mna speed, mna pasi za kwenda mbele, cross za Reece, squad depth pana.

You had everything isipokua magoli.

Now Thom kaja robo msimu kafungwa 5 na westbrom. Westbrom in 2021 kamfunga chelsea 5, mbinu ziko wapi hapo? Next season mtaanza na moto kisha utapoa, kama Spurs.

Jose kaichukua timu njiani akaonyesha matumaini next season akaanza kwa moto akapoa kafukuzwa.
 
Thomas Tuchel sio Mourinho. Mwakani hatupoi kabisa. Maana mwakani ndio moto utawaka kweli kweli
 
Ila hapa tusisahau Frank Lampard. Aliichonga na kuisaidia sana timu kuvuka kabla ya kuanza kupata matokeo mabovu. So ni kuna watu wawili kwenye hili kombe, FL na TT
FL kafanya vizuri msimu wake wa kwanza tukiwa kwenye BAN kwa kuwatumia vizuri academy, ila baada ya kusajili kikombe kilimzidi akapoteana na wachezaji, yaani akashindwa kuelewana lugha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom