juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Madrid alianza na 433Mbona jana Madrid karudia 3 5 2.
Ila haya ni maajabu nimeyaona juzi kwa Blackpool na Doncaster na jana. Yaani timu inamiliki mpira kwa zaidi ya 60% ila inazidiwa mashuti na inapigwa vyuma viwili
Nacho ramos militao mendy
Modric casemiro kroos
Vini benz hazard
Kaja kucheza 352 hali ishakuwa tete.
