D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
chelsea na timu za spain ni pombe ya ngomani mda wote unachotea
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app







Hahahaha walete walete Kati hao nilikuwa mafichoni uko wako wapi wale mamluki hahaha![]()
Kipigo inawezekana ila sio cha mbwa kokoIyo city tutapiga kipigo cha mbwakoko
Naona kama umepanic vile,usiyempenda kaja utakutana naye uso kwa uso instabull Mancity ujiandae kisaikolojia.Hawawezi ule mziki mwengine...hawa madrid walikuwa weupe kabisa....yaani zizou kazingu sub zake kwanza zimechelewa, mendy na viny jr walitakkwa watoke half time au angebadilisha mfumo...hawawezi cheza kama wing backs.
Centre backs wake wa pembeni nacho na yule militao sijui nao hawakutekeleza function za outside centrebacks kama alivyokuwa anafanya mjerumani mweusi upande wa chelsea.
In short madrid dnt have the personnel nor did they assimilate the tactical movements required to play the chosen system on the day.
vip mwisho wetu umefika au bado?Mnatoka draw mnatamba nyie takataka ..
Subili next week ndio mwisho wenu ...
Kupanic wapi tena yakhe? Mie nimezungumza maoni yangu. Sina ushabiki wowote wa timu. Napenda tuu tactics za pep.Naona kama umepanic vile,usiyempenda kaja utakutana naye uso kwa uso instabull Mancity ujiandae kisaikolojia.
Hongereni sana hii ndio maana ya kuitwa Big club pale kocha anapoleta mambo ya kishoga mnamtimua sio sisi kocha mambo yake ya kishoga mpaka sasa anamaliza msimu na hana dalili ya kuondoka next season
The Bluesssss!!!!Nguvu moja, Man City aiiisee kwa mara kwanza anafika FINAL kwao ni sherehe
wasubili maumivu...🤣
The Bluessssss![]()


😂😂😂 Tumekiwashaa sasa timu ilikuwa haipewi nafsi kubwa sasa imefika final 💙💙💙Man City alikuwa anatamani akutane na Madrid kuliko Chelaea![]()
.Madrid anashinda zaidi ya goli 2 leo, Chelsea inaudhaifu mkubwa bado mkumbuke hii comment badae.
..UCL final mancity vs real madrid.
Na madrid ndio anabeba ndoo.
MÊmENtO HoMO