Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wenyewe wapo humu??? Koz huwa hawakaagi kwao hapa... wao ni thread za wenzao tuu....Naona Reading anatunisha msuli hapa...
 
Wenyewe wapo humu??? Koz huwa hawakaagi kwao hapa... wao ni thread za wenzao tuu....Naona Reading anatunisha msuli hapa...

Nimewauliza hapo juu mpoo? Naona kimya wapo kwenye thread ya arsenal kule wanatia majungu huku wanajua kimeshanukaa
 
Hazard apewe award ya ku dive na kuishindia Chelsea penalty! ... Walitucheka man utd leo naona kama zamu yao
 
haya ni half timeone kuwa second time jamaa watarudi ni aibu kuwa .. Bosi yupo halafu wanadhalilishwa kiasi hiki
 
Dk 90 ndio msema kweli,ila nina hofu moja ya kwmb


KILA NYUMBA ITATOA JENEZA

msimu huu!
Tusubirie na tuone!
 
Bado nawapa nafasi Chelsea kushinda hii game... If they come back strong and regain the possession in midfield then the win is theirs....
 
Ile kanzu ilikua safi kabisa,,,, Lijamaa likaona hii sasa Dharau...
 
Duh! Huyu kipa anashindwaje kudaka mpira kama huo??
 
reading warudi tu walikotoka ! walikuwa washakamata masaburi ya chelsea .. wakapaki bus na kufanya sub ya kijinga! ... natamani sana man u vs chelsea tuwashikishe adabu hawa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom