Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hiki kipindi nilishawahi kusema ni kipindi cha mwenzako akifungwa wewe tia maji
Westbrom na New Castle wanakufa na kila mtu anayekuja mbele yao, possibly na Fulam naye. Aliyekata tamaa ni Shefield United na inaweza kuwa matumaini yao ya kubaki EPL ni leo hii tu
Westham katundikwa 3-2 na Newcastle. Chelsea top 4 tushindwe wenyewe
Kwa matakoe ya jana ya WHU top four wasahau. Mpk kesho kutwa tukishinda Chelsea tutakua nafasi ya tatu. Na jmosi tunakutana na WHU hawa ndio wa kupiga vzr wakajifie huko na mbio za top four wasahau kabisa.

Kuna kila sbbu na uwezo wa Chelsea kumaliza nafasi ya tatu juu Leicester city.... Dawa ni kukazana sn kila game tushinde.


Yaani iwe timu inakabia deep au inakuja kukabia kwa kina Rudiger golini kwetu dawa ni kuwachabanga kwa nguvu kabisa.


Yaani tuna game mbili za EPL kabla ya kukutana na Zidane hizi game tunatakiwa kuhakikisha tuko nafasi ya tatu ktk EPL.
 
Msimu uliopita tulimpiga City kwenye semi final kama hii ..baadae lampard akatupangia likikosi lake la ajabu tukaishia kupigwa na wale takataka arse8 ..sasa tumeingia tena final..

Tutegemee TT ataleta furaha mpya ya makombe darajani.
#CFC

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Msimu uliopita nusu final tulicheza na nyumbu tukampiga 3. Man City tulimpiga kwenye ligi 2-1
 
Aisee nikiiangalia Chelsea ..


Sioni namna gan mnaweza kutufunga nyie ...

Mechi zote za Chelsea vs man city ,chelsea huwa underdog na anaishia kipigo cha mbwa koko ....

Huwa tunavunja daraja LA hapo London kiulaini ...

Mmesahau zile goli 6 ? Hapo darajan ...!

Tunawatwanga fa ..


Sasa mjichanganya tukutana uefa final ,mtajuta kuingia uwanjan
Bila shaka ni aina ya vile vivulana vinavyosikilizaga taarabu na singeli vilivyozaliwa miaka ya2000, kamwe Dume la mbegu haliwezi kuwa na kauli namna hii.
 
Una mashaka na False no. 9 zetu Ziyech & Harvetz?
Mimi naona Ziyech anafaa False no. 9 zaidi ya hao wengine na hasa akicheza na Werner
Havertz yuko clinical ila anaremba, Werner ana papara, Giroud sidhani kama ataendelea na mkataba, Tammy kakosa ujasiri wa EPL namuona akihamia kwenye timu ndogo au apewe mkataba na apelekwe mkopo
So false 9 awe anapangwa Ziyech au Havertz kulingana na uhitaji

Mfano ile mechi ya jana Werner ndiye alikuwa no 9 lakini alicheza wide ya kushoto ambako ndiko anakopendaga kucheza
 
Kwangu naona inategemea na mechi, tukicheza n tim inayopress kuanzia juu basi ziyech na werner wanatufaa
Tukicheza n tim zinazokabia chini kai anatufaa
Hata mimi nimeona hivyo ndio maana nikafafanua kwenye comment yangu hapo juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom