Mkalimani wa Bibi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 801
- 3,143
The bluesss!!! Tupo kwenye ubora wetu, Final ya kwanza hiyoo FA CUP. 💪💪💪💪💪
Hapana alikosa muelekeo kabisa hata mbinu za kuanzia FL hakua nazo kabisa....Sidhani kama coaching ndio shida japo kukosa uzoefu ilimuathiri. Nadhani ile rigidity yake iliua morali ya timu.



EPL chukua lakn UEFA nyie man city hesabuni maumivu tu😂😂Sisi man city tunataka epl na uefa ...
Fa na carabao tumewatuma kina sterling na jesus wachukue ...
Kama wakishindwa basii...
ila the cityzen tunataka UEFA na EPL.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ndoto za mchana kijana ...
Fa unaenda kuaaga mashindano...


. Yaan kwa mwendo huu huu hata Madrid atapigwa wakiwa hawaamini wakionacho.
KTBFFH![]()


Ngoja ni hyo final ya carabao mourinho akushangaze....Sis city tunataka epl na uefa ,hayo mengine tumewaachia ...
Camoon cityyyy
Sis city tunataka epl na uefa ,hayo mengine tumewaachia ...
Camoon cityyyy
Yaan kwa mwendo huu huu hata Madrid atapigwa wakiwa hawaamini wakionacho.
KTBFFH![]()
Wamalizane kwanza na PSGEPL chukua lakn UEFA nyie man city hesabuni maumivu tu😂😂
Sisi carabao hatuhitaji mkuu ..Ngoja ni hyo final ya carabao mourinho akushangaze....
😉😛😀🙁😡Sawa mr pain killer. To day we are going to kill youwait and see