lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,694
- 25,908
Malengo makubwa matatu ambayo Chelsea inatakiwa kufikia hadi mwishoni mwa May 2021 ambazo ni
- Kushinda kombe la UEFA - Muhimu sana
- Kupigania kubaki kwenye top 4 ya EPL - Ya pili kwa umuhimu
- Kushinda kombe la FA - Ya tatu kwa umuhimu
- Kushinda kombe la UEFA
- Kushinda kombe la EPL
- Kushinda kombe la FA
- Kushinda kombe la mbuzi - Karabao Cup