Kwa nini Tuchel Anamng'ang'ania Jorginho abaki Chelsea
The CIES Football Observatory – through a ‘unique methodology comparing the performance of players irrespective of their position’ – ranked Jorginho third among all players from the 98 big-5 league clubs in the first three months of 2021. He was valued at 89.4 out of 100, behind Robert Lewandowski (89.5) and Lionel Messi (92.5).
Jorginho miscontrols the ball, on average, 0.46 times per game – far less than Kante (0.93) and Kovacic (1.01). This is the stat that best explains Jorginho’s worth.
Maelezo yanaendelea kwenye mjadala ulioendeshwa na BT Commentary kwamba Jorginho ni mchezaji mwenye uwezo wa kucontrol mpira hasa kwenye mazingira magumu na kuweza kupasia mwenzake hata kama kabanwa na wapinzani.
Udhaifu mkubwa wa Jorginho upo kwenye kupiga mashuti. Ukiondoa penalty, Jorginho yeye daima anawaza kumpasia mwenzake tu na hii ndio inamfanya kuwa mzuri kwenye midfield japo udhaifu mwingine wa Jorginho hana ubunifu kwenye Midfield kama viungo wengine
Jorginho huwezi kumlinganisha na Kante au Kovacic kwa sababu hawa wanacheza mpira tofauti kabisa hata kama wote wanacheza katikati
Mfano Kante ni mchezaji nadra duniani mwenye uwezo mkubwa wa kuusoma mpira na kuhakikisha yuko kila mahali panapohitajika kuwepo mpira, anayo mbavu na pumzi za kuwepo kila mahali na ni mzuri sana kwenye interceptions. Kovacic yeye ni Dribbling presser anaweza kuukokota mpira kutoka point A kwenda B bila kunyang'anywa au kupoteza control
TT anachofanya sasa kama mechi inamhitaji kiungo aina ya Kante na Kova anawaweka hao lakini kama mechi inamhitaji a good passer kama Jorginho ndio hapo utaona Jo anapewa kipaumbele
Kesho kwenye mechi na Man City Usishangae hata kama Kova asingekuwa majeruhi bado wangewekwa Jorginho na Kante kwa sababu ya aina ya uchezaji wa Man City inawahitaji viungo wa namna hiyo kwenye formation ya 3-4-2-1
Tutegeme pia kesho Pulisic na Werner wakicheza kwenye winga na Mount au Havertz akicheza kama false no. 9. Huku nyuma ofcourse itakuwa ni Rudiger, Silva na Azpilicueta na golini Mendy