Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

IMG_20210419_001551.jpg
 
Kwa miezi mitatu ya TT kuifundisha Chelsea kawafunga makocha wote hodari na timu zao ngumu na hakufungwa hata goli moja na hao makocha
  1. Diego Simeoni mara 2
  2. Jose Morinho
  3. Carlos Ancelloti
  4. Jurgen Klopp
  5. Pep Guardiola
Katika mechi 19
  1. Cleansheet 14
  2. Kashinda mechi 13
  3. Droo 4
  4. kapoteza 2 tu
  5. Kaitoa Chelsea kutoka nafasi ya 9 ya ligi hadi ya 5 sasa na bado ataipeleka hadi ya 3
  6. Kaipeleka Chelsea kwenye fainali ya FA na Nusu Fainali ya UEFA
 
Uefa imestop kwa iyoo team zote zimezojiunga na hiyo super league

Man city

Real madrid

Chelsea

Zimetolewa kwenye mashindano ya uefa

Psg ndio hajasaini huo ujinga so yeye ndio anaenda kupewa ndoo ya uefa this season
 
Kama ulikuwa haujui - Nakujuza.

Chelsea imeweka kibindoni jumla ya euro 12million ambayo ni sawa na Tshs. 33,567.2 Billion baada ya kuingia nusu fainali wakiitoa Club ya Porto ya Ureno.

(Euro 1 - Tshs 2,797.35)

Kitita ambacho Chelsea imeweka kibindoni msimu huu wa UEFA kwa ujumla ni Euro 79.8 million sawa na Tshs 223.2 Billion.

Upilikeee ??
 
OK - Huu mpango ni balaa.... UEFA inaweza kuwa Baba Jeni.....


"These solidarity payments will be substantially higher than those generated by the current European competition and are expected to be in excess of €10 billion during the course of the initial commitment period of the Clubs. In addition, the competition will be built on a sustainable financial foundation with all Founding Clubs signing up to a spending framework.
 
OK - Huu mpango ni balaa.... UEFA inaweza kuwa Baba Jeni.....


"These solidarity payments will be substantially higher than those generated by the current European competition and are expected to be in excess of €10 billion during the course of the initial commitment period of the Clubs. In addition, the competition will be built on a sustainable financial foundation with all Founding Clubs signing up to a spending framework.
Ha ha ha ha chama cha soka ulaya sasa kina kz maana either kiongeze mpunga wa hiyo tuzo
 
Ha ha ha ha chama cha soka ulaya sasa kina kz maana either kiongeze mpunga wa hiyo tuzo
Kuna mpango wa UEFA ulikuwa unaboreshwa nafikiri this week utakuwa tayari - lakini tayari Club 5 kubwa za Uingeleza na nyingine 6 toka Italy na Spain nimesha sign makubaliana ya awali - Man U, City, Chelsea, Liverpool, Arsenal, Wengine ni AC Milan, Atletico Madrid, Barcelona, Inter Milan, Juventus na Real Madrid

Hawa jamaa wanajua mtaji mkubwa ni mashabiki wa hivi vilabu 12 founders ambavyo vina washabiki duniani jumla ya Billion 4 - Mtaji ni washabiki.

Yanga mna washabiki lukuki afu mnalia njaaa - washabiki ni PESA - How to turn fun's into Money - hili ni somo jingine.
 
  • Thomas Tuchel has opened the door to extending his Chelsea contract as he approaches the final 12 months of his deal.

Kuna mwana Chelsea hakubaliani na hili?? sidhani kama yumo humu aisee!! Jamaa anastahili.
 
Haya sasa kumekucha....wale 12 ambao tayari wameshamwaga wino kuitumikia European Super Cup ni hawa hapa:

AC Milan, Arsenal, Atletico Madrid, Chelsea, Barcelona, Inter Milan, Juventus, Liverpool, Manchester City, Manchester United, Real Madrid and Tottenham Hotspur tayari wanakulikana kama 'Founding Clubs'. (Waanzilishi)

Wengine ambao bado hawajaanguka saini ni ma giants wa Ujerumani yaani Bayern Munich and Borussia Dortmund pia na wale mastaa wa Ufaransa Paris Saint-Germain.

Huu mpango ni balaa kubwa!!
 
Name: Thiago Silva
Injury: Lower Back Injury
Return date: No Return Date
Assessment: Currently Being Assessed
Status: 25%

Mateo na Andreas watakuwepo kesho
Uzee - Mpira ndiyo unamtupa mkono!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom