Yaani Man City ndio ilikua timu ngumu ktk hii FA.Dalili ya Kocha mzuri ni kubeba makombe asubuhi, TT anaelekea huko
Tammy anashindwa kupambana, hapa ndio ipo tofauti yake na wakina mountTT adai Tammy ameachwa kwenye squad ya leo kwa sababu kakosa kujiamini kwenye siku za karibuni. Amedai yuko fit hana majeraha yeyote ila ni uamuzi mgumu kumuacha na ameamua kwenda na Werner na Kai Havertz huku Giroud akitokea benchi
"There isn’t much on Tammy [Abraham] but he’s lost a little bit of confidence recently and we’ve taken the hard decision to leave him out today," explained Tuchel to the Chelsea website.
"It was a tough decision but we decided to go with Timo [Werner], and with Kai [Havertz] and Oli Giroud from the bench. We have other injured players missing today, which would mean even more hard decisions."
Kwa amelezo haya ya kocha sidhani kama Tammy atabaki msimu ujao Chelsea
Lampard alifanya nini msimu wake wa kwanza?Tt kama lampard tu msimu wake wa kwanza
Unamuuliza nani? Jibu mwenyewe kweli upofu wa kuona huu
Humu si wanashabiki moja tu. Yule Pain killerHivi Man City wana uzi au mashabiki wao ni watoto wa mtaani tu

kweli anauwezo hat wa kutegeneza uzi? Au tuwasaidie kutengeneza?Ni kweli middle field tuliitawala de Bruno alipoteya kabisa na pass zake zile zakupenya hatukuziona, Rahim sterling pia hakuweza kukokota mipira yakeTT mjanja bana. Aeleza kwa nini alichagua line-up ya leo, katikati aliwaweka Kante na Jorginho kwa sababu ya aina ya uchezaji wa Man City. Alitaka pasi ziwe nyingi katikati. na Mbele kawaweka Mount, Ziyech na Werner kwa sababu ya uchezaji wao na kweli hao watatu wameunagna vizuri. Move ya goli pasi nzuri ilianza kwa Mount kwenda kwa Werner aliyekimbia vizuri kwa kasi yake na kumpasia Ziyech
"Hakim is more of a dribbler, a passer, he turns in the pockets.
So sometimes with these decisions, they are never personal. We just go for the different characteristics of the players."
TT ni fundi anakupangia wachezaji kulingana na aina ya timu anayokutana nayo. Km timu inahitaji wakimbiaji na wakokota mpira sn km alivyo panga kwa Porto basi sawa km anahitaji wapiga pasi basi sawa. Na kz yake kubwa yeye anakwambia ni kuitafakari mbinu ya ushambuliaji kwa timu anayo kutana nayo maana km defense yeyewe ipo tu ni kuamua anakabia juu ktk mita 40 au wapi. TT mwalimu mzuri snTT mjanja bana. Aeleza kwa nini alichagua line-up ya leo, katikati aliwaweka Kante na Jorginho kwa sababu ya aina ya uchezaji wa Man City. Alitaka pasi ziwe nyingi katikati. na Mbele kawaweka Mount, Ziyech na Werner kwa sababu ya uchezaji wao na kweli hao watatu wameunagna vizuri. Move ya goli pasi nzuri ilianza kwa Mount kwenda kwa Werner aliyekimbia vizuri kwa kasi yake na kumpasia Ziyech
"Hakim is more of a dribbler, a passer, he turns in the pockets.
So sometimes with these decisions, they are never personal. We just go for the different characteristics of the players."