Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nafurai chelsea kubeba.mungu kawakumbuka japo siwashabikii. Kikosi cha morinho drogba,tery,lampad,cole,czech,essien, kalou. Hii ni kizaz ya morinho

Mkuu upo sawa kabsaa, ni kizazi cha dhahabu! Maurinho bd influence yake ipo. Kuna watu walikuwa wanachonga ooh sijui bayern! Sijui chelsea watachapwa bao nyingi sasa mmeona mxxxii
 
Spurs walie tu.

Hongereni Chelsea, mmepoteza hela nyingi sana kutaka hili kombe sasa mmefanikiwa.

Hongera sana Di mateo kwa kuweza kuwapa umoja darajani.
 
Ni kupoteza muda wako kubishana na mtu asiyejuwa lolote na mwenye fikra fupi kama Gang Chomba na kupoteza muda wako vilevile kumuemisha mtu mwenye wivu na majungu kama Rejao.

Kwa chuki binafsi za Rejao alipenda leo Drogba akose penalti lakini mungu siku zote ni lazima amuumbuwe mtu mnafki, Drogba ndiyo shujaa wa usiku wa leo. Gang Chomba na Rejao mnapaswa kujifunza leo hii na siyo kuja na porojo zenu jamvini bila fact.
 
Last edited by a moderator:
piga ua garagaza ilibidi tushinde tu...di matteo keshapata kazi na drogba contract ya miaka miwili inaandaliwa usiku huu huu...bwa ha ha ha ha ...!
 
Nilikuwa nimelala, tena fofofo lakini nilikuwa nasoma komenti za Dark City, aloposema tu huree nimeruka kitandani kuja kumalizia lol

afu nimesikia na mtaani wanashangilia.


Nilijua unajidai tu huwezi kulala!
HONGERA SANA KONGOSHO
 
Last edited by a moderator:
Referee wa hii mechi kajitahidi pia..kwa mtazamo wangu!!

Rev. Masanilo, Pesant, Ab-Tichaz, Invisible, AljuniorTz, Dark City, Kongosho, Nitonye etc....WELL DONE🙂)😛hoto:


Home Bitter Home (not Home Sweet Home) kwa Bayern leo..khaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom