MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,607
Yametimia! Subiri wenyewe wakusikie hapo kwenye red.Hahaha... nadhani zitakwenda penalties... wakati wanapiga penalty I was telling this guy ambaye tunaangalia wote kwamba Peter C. He is good with penalties! Wakienda penalties nadhani chelsick wanabeba ndoo hii
Mimi naiaminia Chelsea kwa penalties, lakini mpira ndio mpira, kila kitu kinawezekana.
Kila la Heri Chelsea!