Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

ni furaha iliyoje? Huku wakiwa ugenini chelsea wameweza kupata kumbe la ulaya. hongera sana chelsea. Mmwaaaa...!!!
 
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
babu Dark City

Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Nafurai chelsea kubeba.mungu kawakumbuka japo siwashabikii. Kikosi cha morinho drogba,tery,lampad,cole,czech,essien, kalou. Hii ni kizaz ya morinho
 
Ooooooh, poor Bayern Munchen. Poleni ka kuukosa ubingwa mkiwa nyumbani kwenu, lol inauma!
 
ivi ni visa vya makusudi !
Kuwapa mods kazi zisizo na mpango.
Ivi ili jukwaa gani !
I nayo ni siasa kweli !
 
hongera sana chelsea. Mumetubeba vilivyo na kutujengea heshima mtaani pia.
 
Tb joshua si mchezo (utani) nimefurahi sana chelsea wamechukua kombe timu yenye weusi wengi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom