Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Msumali ulikuwa unanichoma pale robben na ribbery walipokuwa wanatembea kwenye uzi Mungu si Athuman ribbery akaumia mguu


Pole ndugu yangu...Kombe la kg 8 sasa ni lenu....

Didie ni Man of the Match,

Babu DC!!
 
Kombe hilooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo,


Raha sana kushinda...tena katika mazingira magumu!!
 
weraweraaa chelsea for Life since those days of coach Glen hoddle when Di Matteo was just a mield fielder, gianluca vialli, Denise 'the menace' Wise, celestine babayaro aisee chelsea tunatisha
 
ivi ni visa vya makusudi !
Kuwapa mods kazi zisizo na mpango.
Ivi ili jukwaa gani !
I nayo ni siasa kweli !

utajiju...hahahahaaaaa...!!!nina furaha iliyoje? niacheni nifurahi. subili zamu yenu. mamod wenyewe chelsea....hahahahaaaaa...!!! uuuuiiiiiiiiii.....!!!!!
 
kuna watu waliizarau chalsea sasa hivi hawaonekani!macho yanawatoka na roho zinawauma!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom