Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii ipo tight sana kwa chalsea maana buyern hawapandi wote kwenda kushambulia na kuwapa ugumu chalsea kufanya mashambulizi ya kushtukiza
 
dah sijui leo tutatoka? naona hawa bayern ushambuliaji wao siyo wa kurembaremba kama barca...tukiweza kuwagonga moja tu kipindi cha pili, kombe ni letu...!
 
mambo magumu kwa chelsea kwan wanajilinda zaid kwa kutegemea mashmbuliz ya kuvizia
 
Imani imeanza kunitoweka kwa ze blues nahisi kuna misumari inanichoma
 
Mkuu .. unadhani Torres ni game changer!.. Chelsea leo midfield naona imetulia..
Yes midfield imetulia lakini nahisi wanahitaji mtu waku"spark off" mchezo wao. Kwa namna wanavyocheza hivi sasa, unless kuwepo na mchezo wa kushitukiza, wanaweza kupata tabu mbele ya BMünich.
 
chelsea wanaweza ingiza kamoja tu halafu game over. Yaani Bayern wamekosa kwelii magoli, wanashambulia aisee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom