Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Buyern wanatafuta goli la mapema kwa mashambulizi ya hapa na pale
Mpira haujatulia bado wachezaji wana presha ya mchezo
 
Leo sina la kusema.....Ngoja kwanza nikalale ili nikiamka kila kitu kiwe kimeisha...Sitaki kufa kwa pressure na kuwaacha wajukuu zangu wazuri!!

Babu DC!!
 
Dark City, mie mwenyewe niko kitandani.
Nitaamka saa tano na nusu.

Nimejaribu kukaa nikaona nasweti hadi kucha.

Leo sina la kusema.....Ngoja kwanza nikalale ili nikiamka kila kitu kiwe kimeisha...Sitaki kufa kwa pressure na kuwaacha wajukuu zangu wazuri!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
BelindaJacob na Katavi

nina haipatensive plesha, ya nini kujitesa moyo, ntaamka kuangalia anayepewa kikombe tu.
 
Last edited by a moderator:
Chelsea wanaonekana kudorora kidogo, lakini akiingia Torres hali itabadilika.
 
Bayern hawapandi kama Barca. Their back four remain intact for any counter attack. RDM inabidi abadili mbinu.
 
mechi ishaanza na tayari Chelsea wamepaki basi na wametoa upepo matairi...
 
Chelsea wamezinduka kwa shambulizi kali lakini shuti la kalou linadakwa kirahisi

Buyern wanajibu shambulizi kali na kuwa kona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom