Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

kesho ni mechi kati ya chelsea na bayern munich ha ha ha bonge la mechi ila mi karata yangu ni kwa bayern ingawa matokeo kamili yatapatikana baada ya dakika 90 au 120 advantage kubwa kwa baryen ni kwamba watakuwa wanatumia uwanja wao wa nyumbani lakini mechi inakuwa ngumu zaidi kwa sababu chelsea wanataka kushinda ili waweze kushiriki tena UEFA mwakani baada ya kuvunda kwenye ligi na kukosa nafasi za top 4
Mkono Luzuba | Facebook
mkono luzuba (@luzubafrank) on Twitter
 
Kwa mara nyingine tena uzi unaowavutia wageni wengi zaidi humu jamvini utakuwa live kuanzia hapo sa 3.45 Usiku. Karibuni wote.
 
siku ya kufa Mbwa basi Pua zote zinaziba.
Chelsea leo wanaingia uwanjani kwa Bayern yaani Alianz Arena wakienda kujaribu kuushangaza Ulimwengu.
Hawana rekodi yoyote na kombe hili, ni moja ya timu ndogo ktk mashindano haya, hawapewi nafasi ya kulichukua kombe hili, na kama yupo Mshabiki anayeweka Pesa nyuma ya Chelsea basi atakuwa anayataka Majanga kwa lazima.

Bayern Bavaria Munchen wakiwa ktk uwanja wao wa nyumbani ambao ni wa kisasa chini ya Nahodha Philip Lahm wako ktk hali nzuri ya kimchezo, wanatambulika kuwa ni moja ya timu kubwa Barani Ulaya wakiwa wamebeba kombe hili mara 4, wanapewa nafasi kubwa ya kunyanyua kombe hili kwani kufika kwao Fainali ni wazi kuwa wengi wenye utimamu kichwani tulikutaraji.
Wakiwakosa Wachezaji wao kama Mgogo Alaba, Batstuber na Gustavo Bayern wameonekana kuto kutetereka tofauti na wapinzani wao ambao kwa kuwakosa Terry, Meireres na Ramirez wameonekana kupwaya na hata baadhi ya washabiki wa Chelsea wameonekana kutokuwa tayari kwa mchezo wa leo.

All in all dobi wa kweli utamjuwa siku akipewa nguo nyeupe...
 
sidhani kama chelsea watashinda, naisi msimu ujao tutawakosa kwenye UEFA
 
Robben: Playing against Chelsea makes Champions League final more exciting.
The Dutch attacker is eagerly awaiting the European clash at the Allianz Arena on Saturday, which he feels is made all the more important for him as he faces old employers
By Gang Chomba
May 19, 2012 8:00:00 AM

FC Bayern München, Arjen Robben
Bayern Munich winger Arjen Robben has admitted that he cannot wait to play against former club Chelsea in the Champions League final.

The Netherlands international played a crucial part as the Bundesliga giants knocked out Real Madrid, another past team of the Dutchman, in the semi-finals, and is looking forward to facing the Stamford Bridge outfit.

"Honestly, it couldn’t be better for me," he told Times of India.

"Playing against Chelsea makes the final even more exciting. In the semi-finals I was up against Real Madrid, who are also one of my former clubs, and, of course, against one of my former managers, and now it’s Chelsea. Amazing," he confessed.

The flying winger went on to state that he keeps up to speed with the Blues’ results, and is pleased that Roberto Di Matteo has led the west London team to the final.

"I had such a great time at Chelsea. I’m very happy for Roman Abramovich, who has put so much effort and money into the club. The fans were very good to me when I was there so I’m very pleased for them as well.

"I will always have fond memories of my time at Stamford Bridge so I’m very happy for Chelsea that they are there [in the final]."

Despite Chelsea being criticised in the media for their defensive tactics on a number of occasions this season, Robben feels that both teams will attack at the Allianz Arena.

"They have players suspended, as we do, and the team has changed since I was there, of course. But I think they have done so well to qualify.

"I remember watching their game against Napoli earlier in the season and I was very surprised and very disappointed because they were poor. But since then they have improved a lot.

"I think this will be a different game. It’s not over two legs. It’s just one match and that makes a difference. I think both teams will attack," he concluded.
 
magharibi mwa London hali imeonekana kuwa tulivu huku kukiwa hakuna mikusanyiko ya wapenzi wa mchezo wa Soka, kitu kinachozidi kukatisha tamaa wapenzi wa Chelsea.

Wachambuzi wa maswala ya Soka wametanabaisha kuwa hata tiketi za kuingia uwanjani zilizopelekwa kwa ajili ya washabiki, nyingi zimerudishwa UEFA kwani washabiki wengi wa Chelsea hawako tayari kwa fainali hii inayoonekana itakuwa ni ya upande mmoja...

Majanga
 
Dah we jamaa yaani ni real great thinker...
I like your post

sure mkuu , Bayern ni wakali aisee , then ukijumlisha kikosi cha chelsea kilivyopungufu , jamaa tena wana advantage ya nyumbani , sijaona sababu ya bayern kushindwa
 
Kila la heri Chelsea. Kisago mlichowashushia Barca kihamisheni kwa Bayern Münich.
 
Inshort Chelsea leo hawatoki....labda itokee miujiza wachezaji 2 wa Bayern munich wapewe red card
au wavunjike miguu, hapo Chelsea watapita....lakini kama hayo mawili hayatatokea basi chelsea out.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom