Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hapa sijaelewa game plan ya chelsea...wanataka kwenda mpaka extra time ili wawagonge bayern wakiwa wamesha legea au inakuwaje?
 
Chelsea inabidi waongeze umakini Reuben na Ribbery wanawasakama mbaya kwa upande wa munich drogba ni wa kuangalia
 
Bayern kama wamelogwa vile!!
Wanatulamba chenga lakini kufunga hawafungi!!
 
hivi yule pweza anayetabiri wajerumani waliua hadi vizazi vyake? maana sasa hivi tungekuwa tunajua matokeo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom