Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nawatakia kila la heri katika game ya leo. Am sure u will win this. U have the quality, desire n spirit for being European Champions. Hope piss-ant, rev masa, Max n the co will sleep happy tonight.
 
naona watu wapo na ushabiki zaidi kuliko kuangalia kiufundi zaidi. mleta maada alitakiwa atueleze wapi udhaifu wa chelsea upo na uimara wa bayern katika kila sehemu ya uwanja ndipo tungekuelewa zaidi. hata mechi yao na barcelona Kalou aliwakumbusha mashabiki waliokuwa wanaibeza chelsea na kuwaambia kuwa hata hao wakina messi wana madhaifu yao mwisho ya mechi mbili mlishuhudia wenyewe. naomba mfahamu kuwa

"FOOTBALL HAS NO HISTORY"
"MAJINA HAYACHEZI UWANJANI WALA MTU MMOJA MMOJA BALI KAMA TIMU"
 
leooooo ndio leoooo kazi kweli kweli kama ni mtoto wa kike kaingia nyumban kwa mbakaji je atatoka mzima? swali hili jibu lake litakuja baadae
kila hareli chelsea
 
GUESS who the busiest man on the pitch will be?? no not goalie Cech,it will be chelsea,s physio- everytime Drogba falls down he will have to attend
 
Kwa tathmini za haraka haraka unaweza kuipa munich nafasi kubwa
Lakini chalsea wapo vizuri pia kwa mipira ya mbinu kama alizokuwa anatumia mourinho
Wanacheza zaidi kwa kulingana na aina ya mchezo na hali halisi inayotawala mchezo mzima
Nawapa nafasi chalsea nikiamini mateo atatumia trick kuwamaliza munich
 
whoa! opening ceremony nzuri..ila lugha ya huyo mwimbaji siielewi, khaa! nimependa madoido..timu zipo uwanjani sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom