Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

machi inąnza sąa ngapi wakuu wk hii nilibanwa sana na kazi
 
Wadau wote mliochangia hapo juu I ask you to mark my words, CHELSEA IS A CHAMPIONS LEAGUE WINNER THIS SEASON, if a football giants barcelona agrees why not bayern?

Chelsea fans all over the world let's has started to have a party as early as possible, we are going to beat bayern and amazing the world once again as we did to barcelona
 
Miamba ya Soka barani ulaya unaijuwa wewe?
Miongoni mwao Barca ipo?
Miamba ya soka inabeba Champions League bila fununu ya mkono wa Refa kuanzia hatua ya awali mpaka fainali.
Miongoni mwa miamba ya Soka yupo Los Blanco na Rosonelli.
 
ths ****, wewe hujui mpira period!
 
Nilichogunduwa kwenye thread hii ni kama makutano ya mazuzu yasiyojuwa chochote kuhusu soka kwamba soka ni dakika 90. Football is unpredictable Game.
 
Hata soka ingekuwa robo saa, then Chelsea wawe 13 na Bayern wawe 11 still Chelsea watachutama.
 
Bahati mbaya mimi siyo mshabiki wa Chelsea wala Bayern Munchen, ila unavyoonekana hakuna lolote unalolijuwa katika soka zaidi ya kubwabwaja tu.

Wao hao wenyewe Bayer ukiwauliza hiyo mechi wanajuwa Manchester United iliwafanya nini ndani ya dakika 2 mwaka 1999. ndio maana sina muda wa kupiga kelele za mpira na watoto show.
 
Huna lolote unalojuwa.
Ni bora tu uende jukwaa la chit chat kule kuna wenzio.
unawafananisha Chelsea na Man UTD we kweli zimo kichwani?
 
Fanali ya eufa ya leo kati ya bayern munich na chelsea ndio itakayoamua uwezekano wa chelsea kuwa club ya kwanza kutoka london kutwaa uchampion wa eufa.Ni upi utabiri wako kuelekea mtanange huo
 
Attachments

  • chelseafcvsbayernmun_449562.jpg
    chelseafcvsbayernmun_449562.jpg
    38.8 KB · Views: 49

Similar Discussions

Back
Top Bottom