Jukwaa letu utaliona chungu komaaaaHuyu mbuzi kenge mkubwa huwa anaichukia Chelsea nahisi kuliko timu yoyote EPL.
Aiseee...hivi huwa mnavumilia vipi ninyi Arse8 kwa vichapo vya kila siku? mbona usingizi umekata ghafla? We Arse8 fan naomba mbinu za uvumilivu kwa kichapo chenu ki1 tu angalau nikorome basi hahaaaa....!
Mara 1000 ufungwe hata na Shelfield Utd, West Bromwich au Fulham kuliko hawa Arse8/ midomo FC ambao huwa wanaimba taarabu kama vile chirikuJukwaa letu utaliona chungu komaaaa
Kwa muda huu muache kutembelea majukwaa ya watu nakupigapiga keleleSisi tuliokuwa tumejiandaa kisaikolojia kuwa Chelsea hadi 2022 ndipo itakuwa timu tishio Ulaya unatushaurije Chifu?
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Ollachunga amezea umbea na kuzurura kwenye majukwaa ya watu kumbe hana timu inayoeleweka.Chelsea ni timu ya hovyo sana ktk EPL




Arsenal ndo kibonde wetu kwa miaka mingi tumekuwa tukiwafunga hata kama tuko vibaya..Nilikwambia wewe na chelsea ndiyo vibonde wetu
Wazee hongereni sana kwa ushindi, maana mlinisikitisha kufungwa game 2 mfululizo mpaka imeibua kelele mtaani kutoka kwa Man Utd.
Jumamosi chapeni Arsenal, Leicester atajitahidi apate sare kwa Utd. Sisi tukimalizana na Utd nyie ndo mtakuwa namba 2. (Ila kumbukeni kwamba hamjamalizana na City na Leicester round hii).
SawaShangilieni kwa muda ila mwaka huu lazima mshuke Championship ndio saizi yenu
OkayMara 1000 ufungwe hata na Shelfield Utd, West Bromwich au Fulham kuliko hawa Arse8/ midomo FC ambao huwa wanaimba taarabu kama vile chiriku
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app