Unaposema ni vibonde inabidi uwe narecord. Haya leta record ni mechi ngapi zimechezwa baina yao na yupi kashinda/kapoteza mechi nyingi?Tukana unavyotaka ila mimi Castr ninasema Arsenal ana vibonde viwili man u na chelsea.
Hilo nimelisema hata kabla hatujacheza na everton. Usifikiri ni kwaajili ya ushindi


