Umeanza.. nitafute nikiwa na mood ya ubishiUnaposema ni vibonde inabidi uwe narecord. Haya leta record ni mechi ngapi zimechezwa baina yao win, draw na lost zikoje.
Umeanza.. nitafute nikiwa na mood ya ubishiUnaposema ni vibonde inabidi uwe narecord. Haya leta record ni mechi ngapi zimechezwa baina yao win, draw na lost zikoje.
Sasa hukatiki tutakojoaje?.."joke"Si mkojoe mlale.
Oi Admin zima taa
![]()
Nimeanza nini? Leta record ya idadi ya mechi kati ya arsenal na man u na aliyepoteza nyingi ndio kibonde. Kama huna data kwa nini unaropoka?Umeanza.. nitafute nikiwa na mood ya ubishi
Eti timu ina kila aina ya wachezaji lakini Kocha ni 0 technically zaidi ya kukariri ball possession tu bila ya ushindi,Mungu kwanini umeruhusu haya yatokee Chelsea kuwa na kocha kama Lampard? Why God why?
Mechi 4 three loses, 1 win, na bado hata hatujafikisha nusu ya mechi EPL 2020-2021, Lampard hajakidhi hata nusu ya vigezo vya ukocha kuifundisha ChelseaLampard hafai, anabahatisha
Muda bado wewe! Sio kwa vibe nililonalo leo!Si mkojoe mlale.
Oi Admin zima taa
😂😂🏃🏃🏃
Sisi tuliokuwa tumejiandaa kisaikolojia kuwa Chelsea hadi 2022 ndipo itakuwa timu tishio Ulaya unatushaurije Chifu?Kweli msiba kupokezana
Chelsea hadi dkk 65 no short on target afu tunapeana matumaini eti Lampard atatupeleka nchi ya asali na maziwa kweli? wakati mwingine bangi inatakiwa uvute ndipo umwone Lampard ni Kocha mzuriTumekalia kupiga cross tu, hatuna njia nyingine ya kutafuta goal
Kushinda game za top 6 itakuwa ngumu sana
Jirani leo umefufuka hadi umeamua kututukana Baba zako au asiyo?Tutawaua tutawaua kumamamamake
Eti penalty unapiga hata mtoto aliyezaliwa wa mwezi mmoja hadhuriki na mpira? Joginho ni Lingard mchangamfu tu kasoro ni tofauti ya klabu wanazochezea tu.
Ni kweli tumeukimbia uzi wetuLeo mtaukimbia uzi wenu Chelsea
Chelsea tupigwe mechi 2 mfululizo tena ili Bosi wenu Abraham nifanye maamuzi magumu kama kawaida yangu hahaaaa...!We si ndio unateteaga kila kitu, tetea na huo utumbo wa kocha wako. Kocha hana mbinu. Nimefurahi sana tumefungwa na bado dozi nyingine kutoka kwa Grealish.
Hapana Kepa ni mbovu kuliko maelezo, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Lampard OUTHata kepa hakua mbovu aisee mbovu ni kocha tu
Sio kwamba Lampard kauza timu ila kakutana na timu bora uwanjani na kila siku tukiwaambia London is red mnabisha sasa Leo mmekubali matokeo kila la heri chama tutafungwa na timu ndogo ila sio Man U na Chelsea.!!!Mount kacheza vizor, Kante kakaba vizor. Kovacic hakuwa kwenye form. Alipaswa kupumzishwa Leo. Chilwell amejitahidi sana. James hakuwa fiti.
Lampard kauza time 🙂