mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 898
- 1,764
Chelsea fans msikate tamaa kirahisi hivi, jana mlikua na siku mbaya na Arteta alikiri endapo angepoteza jana timu ingekua ktk hali mbaya, kwaiyo jana ilikua lazima chelsea afe tu hamna namnaAnachojua kichwani kwake ni:-
1. Pombe
2. Sigara
3. Wanawake
4. Ukocha kwa mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiView attachment 1659962
Sent using Jamii Forums mobile app
My opinion, lampard kocha mzuri ila apewe muda kujenga timu, ila yule Mendy jana karogwa si bure