Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea walicheza vizuri kama dakika 20 za mwanzo na dakika kama 10 za mwishoni hapo katikati ilikuwa ni butua butua tu. Westham hawakuwa clinical kwenye umaliziaji.
Timo Werner bado anacheza kama mchezaji wa Championship kwa papara na kubutua. Hata goli la pili haikuwa assist iliyokusudiwa ni ngekewa tu mpira ulimfikia Abraham
Mason Mount ni mchezaji mwenye akili sana na Mabeki leo wametubeba kwa cleansheet

HONGERENI CHELSEA FANS KWA POINT 3 MUHIMU KUELEKEA TOP 4
 
Wazee hongereni sana kwa ushindi, maana mlinisikitisha kufungwa game 2 mfululizo mpaka imeibua kelele mtaani kutoka kwa Man Utd.

Jumamosi chapeni Arsenal, Leicester atajitahidi apate sare kwa Utd. Sisi tukimalizana na Utd nyie ndo mtakuwa namba 2. (Ila kumbukeni kwamba hamjamalizana na City na Leicester round hii).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom