Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Acha hizo brazaLeo kumfunga Arsenal ni lazima hata kama form iko chini. Bunrley na Brighton wakishinda Arsenal itakuwa rasmi kwenye nafasi ya 17. Position moja tu kutoka Relagation zone
Huna huruma kabisa
Arsenal unazidi kuonea tu
Anashuka chini
Haya sio Maisha
Mwachieni na yeye ashinde
Hapa duniani tunapita tu jamani, na Arsenal anataka kuishi jamni msiwe hivo



