Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,716
- 208,979
Mimi nasemwa watsap, madogo wananishushua hapa. No body by my side nikona heri nikimbilie Chelsea thread 🏃🏃Yaani hapa natamani hata kuikimbia watsap, vile hakuna team huwa nawasema kama Arsenal maskini Mimi jamani..!