DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Sifia na waliokukimbizaWachezaji hawa walikuwa hovyo kabisa jana. Ingekuwa sub ya 5 inakubalika hawa jana walitakiwa nje kabla ya HT
- Mateo Kovacic - alipooza kabisa
- Ngolo Kante - inefective labda kwa sababu ya kuwekwa pembeni
- Timo Werner - hakujua analolifanya
- Édouard Mendy - poor positioning kwa goli la pili na la tatu
- Reece James
- Jourginho - kachoka mbaya




