Wewe endelea kugoogle na kuzunguka Mbuyu kujificha kwenye kichaka cha msamiati wa Sheria lakini Summary ya uliyoyaandika ni Hii.
• Chelsea Football Club - Mmiliki wake ni Abramovic.
• Stamford Bridge haimilikiwi na Roman Abramovich wala Chelsea Football Club. Instead, the freehold of the ground and the naming rights of the stadium vinamilikiwa na Chelsea Pitch Owners PLC (CPO).
- Je ni nani hao CPO (Chelsea Pitch Owners?)
Jibu fungua Link ya Official website yao hapa Chini

uone kama tunawadanganya Watu au wewe ndiye unayetaka kuwaaminisha Watu usichokijua.
www.chelseafc.com
Kwenye hiyo Website yao kuna maneno haya
"Chelsea Football Club is not responsible for the content on the Chelsea Pitch Owners website" Sasa jiulize kwanini wamejitenganisha na Chelsea FC kwenye maudhui yao wanayopost mtandaoni? Kwanini wawe na Website yao binafsi badala ya kutumia ile ya Timu? Huoni kuwa ni Organization inayojitegemea?
Kwa Taarifa yako Uwanja mumekodishwa kwa miaka 199.
Na hao CPO uliohadaika na neno "PART OF THE CHELSEA FOOTBALL CLUB" unajua maana ya maneno hayo?
Maana yake wao ni Washabiki/Member wa Chelsea! Lakini hawana ushirika wowote na Chelsea FC katika umiliki wala hawana hisia pamoja na Abramovic.
Wao CPO wana hisa zao mbali ambazo ni 21,000 ambazo si za kibiashara.