Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wabaya wa Abrahama mpo!

Tammy Abraham scored and was awarded the Man of the Match award in Chelsea’s 2-0 win over Newcastle at St James’ Park.
Kama Abraham anataka apendwe afunge big teams hiyo ndio solution watu wanamchukia kwa Hilo Jambo wakina Drogba wanaheshimika pale Chelsea kwa sababu hii wanaamua matokeo kwenye game against big team
 
Loft cheeck hamna mchezaji pale.. Yule wa kuuzwa kule kule ...

Usije kumuani loft cheek na batshuayi, hata wawe na kiwango vip
Reuben Loftas Cheek naona form yake imeanza kupanda kule Fulam, kaingia muda mfupi akaleta imapct kubwa na kufunga bao zuri iliyoiwezesha Fulam kufungwa 3-2 na Everton
 
TIMU YA CHELSEA

• Inapatikana kwenye mji wa Fulham

• Timu inamilikiwa na Abramovic

• Uwanja wa Nyumbani ni Stanford Bridge imekodi kutoka kwa Freeholders (Kampuni ya wanachama isiyo ya Kimiashara ambayo Mwenyekiti wake ni John Terry).

• Jina la Chelsea linamilikiwa na wanaomiliki uwanja (Freeholders).

• Abramovic alitaka kuununua na uwanja ili aumiliki na Timu wenyewe wakagoma.

• Akataka kuanzisha Project ya uwanja Mpya wa £1B, Freeholders wakamwambia katika mkataba wetu tulioikodisha Timu uwanja ni Lazima Timu inayoitwa Chelsea icheze mechi zake za Nyumbani kwenye uwanja huu wa Stanford Bridge, iwapo utahamia uwanja mwengine basi haitakuwa na haki ya kutumia jina la Chelsea, hivyo ukijenga uwanja Mpya Timu ibadilishe jina isiwe tena Chelsea.
Project ya uwanja Mpya imeshindikana.

• Abramovic ameinunua Timu bila ya uwanja na Jina, kwa wakati huo haikuwa shida kwake kupewa Timu bila ya Kumilikishwa Jina na Uwanja kwani bei yake ilikuwa ni ndogo, but Now Timu imeshapanda Thamani ya takriban 2B. Kuna kila dalili hatoweza kuiuza tena Timu hata akitaka kufanya hivyo! Nani atakubali kununua Timu kwa more than £2B+ bila ya Uwanja wala hatimiliki ya Jina? Labda iuzwe chini ya £1B.
Freeholders kamwe hawatakubali Uwanja na Jina la Timu Limilikiwe na yoyote yule zaidi ya wao Wanachama (Kampuni isiyo ya kibiashara).

"Abramovic kazi Anayo"
 
• Abramovic ameinunua Timu bila ya uwanja na Jina, kwa wakati huo haikuwa shida kwake kupewa Timu bila ya Kumilikishwa Jina na Uwanja kwani bei yake ilikuwa ni ndogo, but Now Timu imeshapanda Thamani ya takriban 2B. Kuna kila dalili hatoweza kuiuza tena Timu hata akitaka kufanya hivyo! Nani atakubali kununua Timu kwa muda more than £2B+ bila ya Uwanja wala hatimiliki ya Jina? Labda iuzwe chini ya £1B.

Shida yako nini hasa!
 
Alikuwa na mpango wa kutaka kupanua uwanja though uwe mkubwa zaidi ...shida ikaletwa na majirani wa huo uwanja nafikiri
 
Plan iliyokuwepo ilikuwa ni kuexpand stamford bridge na kibali kilikuwa kishapatikana
Tofaut za kidiplomasia kati ya uk na russia ndio zilizovuraga mpaka kibal kikaexpire na plan ikawa imesitishwaView attachment 1633577
 
Shida yako nini hasa!

Kuonesha kuwa Kigenge chenu ni cha kuungauunga haimiliki Jina la Mji (Ipo ndani ya Fulham) tofauti na Newcastle, Manchester, Liverpool, Sunderland, Leeds n.k.

Haina Uwanja, imekodi.

Haimiliki Jina, imekodi.

Haiwezi kufanya maamuzi ya uboreshaji miundombinu, Mpaka watake waliokodisha uwanja na Jina.

Halafu munataka kushindana na Arsenal Timu iliyokamilika?

CC: DullyJr
 
Project ya New Stadium iliyokuwa proposed toka mwaka 2011 ya £1B ilikuepo ikafeli baada ya Wamiliki wa Stanford bridge kuikataa kwa kusema Chelsea ikihama Darajani basi ibadili na Jina.

Jaribu kufuatilia
 
Alikuwa na mpango wa kutaka kupanua uwanja though uwe mkubwa zaidi ...shida ikaletwa na majirani wa huo uwanja nafikiri

Project ya New Stadium iliyokuwa proposed toka mwaka 2011 ya £1B ilikuepo ikafeli baada ya Wamiliki wa Stanford bridge kuikataa kwa kusema Chelsea ikihama Darajani basi ibadili na Jina.

Jaribu kufuatilia
 
Kama Abraham anataka apendwe afunge big teams hiyo ndio solution watu wanamchukia kwa Hilo Jambo wakina Drogba wanaheshimika pale Chelsea kwa sababu hii wanaamua matokeo kwenye game against big team

Unawaza kupata Striker aina ya Drogba kwenye Kizazi hichi? Utaendelea kumlaumu Abraham bureee kwakutaka awe kama Drogba.
 
Project ya New Stadium iliyokuwa proposed toka mwaka 2011 ya £1B ilikuepo ikafeli baada ya Wamiliki wa Stanford bridge kuikataa kwa kusema Chelsea ikihama Darajani basi ibadili na Jina.

Jaribu kufuatilia
Chelsea name owners walikubali uwanja upanuliwe iyo ilikuw but ishu ikaja sehemu uwanja ulipo pembeni Kuna national rail way imeipta two sides so uwanja ulitakiwa uchimbwe chini then ndo wautanue bila kudisturb shuguli za reli

Challenge iliyopo ikaja kuwa katika kuchimb lazima t kun mitikisiko itokee sehemu izo za reli so Chelsea had to find new area ili kujeng uwanja mpya kabisaa
Hao jamaa ndo wakasema first owner wa timu walikublian Chelsea watatumia ilo jina na lzm wacheze home games Stamford na kuuza name rights waligoma

Sababu nyingine za kisiasa kwel zipo kutokana na ugomv kati ya Russia na uingereza

Na ukifatlia ni more than four years now mmiliki wa timu hajatia mguu uingereza japo now antumia passport ya Israel baada ya kuomb uraia uko

But project bado plans zipo za last year Chelsea waliongezewa kibali so now project imesimm lkn kbl bdo kipo
 
TIMU YA CHELSEA

• Inapatikana kwenye mji wa Fulham

• Timu inamilikiwa na Abramovic

• Uwanja wa Nyumbani ni Stanford Bridge imekodi kutoka kwa Freeholders (Kampuni ya wanachama isiyo ya Kimiashara ambayo Mwenyekiti wake ni John Terry).

• Jina la Chelsea linamilikiwa na wanaomiliki uwanja (Freeholders).

• Abramovic alitaka kuununua na uwanja ili aumiliki na Timu wenyewe wakagoma.

• Akataka kuanzisha Project ya uwanja Mpya wa £1B, Freeholders wakamwambia katika mkataba wetu tulioikodisha Timu uwanja ni Lazima Timu inayoitwa Chelsea icheze mechi zake za Nyumbani kwenye uwanja huu wa Stanford Bridge, iwapo utahamia uwanja mwengine basi haitakuwa na haki ya kutumia jina la Chelsea, hivyo ukijenga uwanja Mpya Timu ibadilishe jina isiwe tena Chelsea.
Project ya uwanja Mpya imeshindikana.

• Abramovic ameinunua Timu bila ya uwanja na Jina, kwa wakati huo haikuwa shida kwake kupewa Timu bila ya Kumilikishwa Jina na Uwanja kwani bei yake ilikuwa ni ndogo, but Now Timu imeshapanda Thamani ya takriban 2B. Kuna kila dalili hatoweza kuiuza tena Timu hata akitaka kufanya hivyo! Nani atakubali kununua Timu kwa more than £2B+ bila ya Uwanja wala hatimiliki ya Jina? Labda iuzwe chini ya £1B.
Freeholders kamwe hawatakubali Uwanja na Jina la Timu Limilikiwe na yoyote yule zaidi ya wao Wanachama (Kampuni isiyo ya kibiashara).

"Abramovic kazi Anayo"
Khaaaa sasa si angeiboresha kidogo tu hilo jina, baada ya chelsea iwe cheltako ili ajenge uwanja wake,
 
Kuonesha kuwa Kigenge chenu ni cha kuungauunga haimiliki Jina la Mji (Ipo ndani ya Fulham) tofauti na Newcastle, Manchester, Liverpool, Sunderland, Leeds n.k.

Haina Uwanja, imekodi.

Haimiliki Jina, imekodi.

Haiwezi kufanya maamuzi ya uboreshaji miundombinu, Mpaka watake waliokodisha uwanja na Jina.

Halafu munataka kushindana na Arsenal Timu iliyokamilika?

CC: DullyJr
Siku imekuwa nzuriiiiiiiiii kabisa kudadeki. Hawã raia wana mikelele tu humu kumbe wamekodishwa kila kitu.

Hizi ndio nondo sasa,
Kokote ulipo ubarikiwe wewe na familia yako mheshimiwa, mfalme King Ngwaba
Kama kuna madini kama haya uwe unayaeka humu mkuu
 
Chelsea name owners walikubali uwanja upanuliwe iyo ilikuw but ishu ikaja sehemu uwanja ulipo pembeni Kuna national rail way imeipta two sides so uwanja ulitakiwa uchimbwe chini then ndo wautanue bila kudisturb shuguli za reli

Challenge iliyopo ikaja kuwa katika kuchimb lazima t kun mitikisiko itokee sehemu izo za reli so Chelsea had to find new area ili kujeng uwanja mpya kabisaa
Hao jamaa ndo wakasema first owner wa timu walikublian Chelsea watatumia ilo jina na lzm wacheze home games Stamford na kuuza name rights waligoma

Sababu nyingine za kisiasa kwel zipo kutokana na ugomv kati ya Russia na uingereza

Na ukifatlia ni more than four years now mmiliki wa timu hajatia mguu uingereza japo now antumia passport ya Israel baada ya kuomb uraia uko

But project bado plans zipo za last year Chelsea waliongezewa kibali so now project imesimm lkn kbl bdo kipo
Muje tuwauzie highburry stadium lakini kwa sharti moja tu, muitwe cheltako,

Dah ukiwa kapuku lazima unyanyaswe na wenye nazo,
Na life halipo fair kabisa, yaani kuna wengine hawana hata uwanja ila wengine wanavyo zaidi ya viwili,

Chelsea wameachwa mbali sana na Gwambina
 
Dah kupanua uwanja imeshindikana, kuhama na kubadilisha jina la timu imeshindikana.

zipi ni hasara za kubadilisha jina la timu kwa ajili ya kujenga uwanja wa kisasa?
Mtaanza moja, yaani kama hii timu yangu ya huku ujiji MBILI CHALI FC..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom