Sasa kumbe?Makombe yote tuliyobeba na Chelsea fc yanafutika![]()

Wao hawataki timu iondoke Stamford inatakiwa timu ibaki palepale , so wao ndo wanamiliki jina pia ukisikilza wachambuz pia wansem kuna business reasons pia zinazofany jamaa wakatae timu kuondok FulhamSasa najiuliza swali hao watu walioshikilia jina la timu hawapendi kuona timu inapiga hatua kimafanikio? Wanafaidika nini kukwamisha maendeleo ya club?
Oky kama Roman atanunua eneo lingine akajenga uwanja wa kisasa hawa watu wakaendelea kupewa hati miliki ya jina kwenye uwanja mpya kuna shida gani?
Yule jirani alikubali kulipwa fidia so ishu ilibki kwa hao jamaa wao hawataki timu ihame kama uwanja utanuliwe palepale StamfordDah nimesikitika sana kusikia kwamba kuna wazee aina mzee kilomoni wanashikilia hati miliki ya jina na pitch.
Nilikuwa nafahamu kwamba uwanja ulishindikana kupanuliwa kuwa kuna jirani aliweka pingamizi kwamba uwanja ukipanuliwa utamkinga kupata jua.
Akaambiwa auze nyumba akakataa. Hili la kina mzee kilomoni nilikuwa silijui aisee.
Mwaka huu ndo walikubali challenge ikaja kuwa ni pembeni mwa uwanja kun sehm kwa ajili ya rail way so utnuz wa uwanja inabidi usilete chngamoto mweny rail way hasa mitikisiko coz utanuz wa uwanja ulihusisha pia njia ya kutanua kwa kuchimbaKama wanataka timu ibaki wamshauri mwenzao auze nyumba yake jirani na uwanja ivunjwe kupisha ujenzi wa upanuzi wa uwanja. Sasa wanagoma timu kuhama huku wanazuia maendeleo ndio nini sasa?
Imekamilika ha ha haaaaa hata cku mkipata UEFA mtaajitaje???Kuonesha kuwa Kigenge chenu ni cha kuungauunga haimiliki Jina la Mji (Ipo ndani ya Fulham) tofauti na Newcastle, Manchester, Liverpool, Sunderland, Leeds n.k.
Haina Uwanja, imekodi.
Haimiliki Jina, imekodi.
Haiwezi kufanya maamuzi ya uboreshaji miundombinu, Mpaka watake waliokodisha uwanja na Jina.
Halafu munataka kushindana na Arsenal Timu iliyokamilika?
CC: DullyJr




Inawezkn kuongeza siti elfu kum na nane ,so apo ni maamuz ya tajiri mwenyeweKwahiyo kiufupi ni kwamba upanuzi wowote wa uwanja hauwezekani?
Mzee umekurupuka kama ushuzi,.Imekamilika ha ha haaaaa hata cku mkipata UEFA mtaajitaje???
Ligi mna mwaka wa 18 sasa
Hamna hata direction![]()
Hivi unaelewa dunia inavyozunguka kweliBado na lampard ni kocha wa chelsaaSTADIUM CAPACITY
Manchester fc 74,879
Tottenham Hotspur fc 62,062
Arsenal fc 60,704
West Ham United fc 60,000
Manchester City fc 55,017
Liverpool fc 53,394
Newcastle United fc 52,305
Aston Villa fc 42,095
Chelsea fc 40,834
Dah hii sio pouwa
Wale mashabiki fuata mkumbo hivi munajua timu munayoishabikia kweli?![]()
Endelea kutamani mkuu,Huu uwanja wa krasnodar fc tuliocheza nao UEFA juzi niliupenda sana, natamani Chelsea tujenge beseni kama hili
View attachment 1633742View attachment 1633741View attachment 1633746View attachment 1633743View attachment 1633744View attachment 1633745View attachment 1633748View attachment 1633747
Muda huu anaandika anafuta, anaandikaaaaaaaaa anafuta, anaishia kusonyasonya tu
Dah kupanua uwanja imeshindikana, kuhama na kubadilisha jina la timu imeshindikana.
zipi ni hasara za kubadilisha jina la timu kwa ajili ya kujenga uwanja wa kisasa?
Shida ni kwamba hamna uwanja hamna jina![]()
Khaaaa sasa si angeiboresha kidogo tu hilo jina, baada ya chelsea iwe cheltako ili ajenge uwanja wake,
Kuna timu zimepoteza uelekeo kabisa kilichobaki ni kushabikia viwanja vyao na makombe yao ya enzi hizoShida ni kwamba hamna uwanja hamna jina![]()



Dully Jr ndio anaekupa raha hongeraKuonesha kuwa Kigenge chenu ni cha kuungauunga haimiliki Jina la Mji (Ipo ndani ya Fulham) tofauti na Newcastle, Manchester, Liverpool, Sunderland, Leeds n.k.
Haina Uwanja, imekodi.
Haimiliki Jina, imekodi.
Haiwezi kufanya maamuzi ya uboreshaji miundombinu, Mpaka watake waliokodisha uwanja na Jina.
Halafu munataka kushindana na Arsenal Timu iliyokamilika?
CC: DullyJr