Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
![]()
![]()
Kuna jamaa hapo juu anasema wao mashabiki wanamiliki kiwanja na jina, alafu Roman anamiliki wachezaji, nimecheka sana dah,
Sasa tofauti yao na Njombe mji iko wapi?![]()
Sasahivi wanaunga Bando kila wakati kwa ajili ya kuperuzi viblogi uchwara vya Shaffih Dauda kutafuta vijisababu vya kuonesha kuwa hawajakodi uwanja na jina lakini imebuma.
Wakiona msamiati unasema "Stanford Bridge owned by Chelsea Fans" basi wanageuka wanasheria na Wahasibu hapa kutaka kutufundisha masuala ya kukodisha.