Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea have played 999 matches under Roman Abramovich ownership.
The match against Tottenham will be our 1,000th #CFC

608 wins,
215 draws,
176 losses,
61% win percentage.
1,903 goals scored,
896 goals conceded

Trophies won under Roman

Premier League
2005, 2006, 2010, 2015, 2017

Champions League
2012

Europa League
2013, 2019

FA Cup
2007, 2009, 2010, 2012, 2018

League Cup
2005, 2007, 2015

Community Shield
2005, 2009

Most appearances

John Terry 599
Frank Lampard 547
Petr Cech 494
Cesar Azpilicueta 395
Didier Drogba 381

Most goals

Frank Lampard 196
Didier Drogba 164
Eden Hazard 110
Willian 63
Salomon Kalou 60

Most clean sheets

Petr Cech 228
Thibaut Courtois 58
Carlo Cudicini 55
Kepa Arrizabalaga 33
Henrique Hilario 18

Number of major trophies won by English clubs during the Roman Abramovich era

Chelsea 16
Man Utd 14
Man City 11
Liverpool 7
Arsenal 6
Birmingham 1
Leicester 1
Middlesbrough 1
Portsmouth 1
Swansea 1
Tottenham 1
Wigan 1

Chelsea Academy trophies

FA Youth Cup
2010, 2012, 2014, 2015, 2016, 2017, 2018

UEFA Youth League
2015, 2016

Premier League 2
2014, 2020

Premier Reserve League South
2011

Premier Reserve League National
2011

Under-21s Premier League
2014

Chelsea Women’s trophies

FA Women’s Super League
2015, 2018, 2020

FA Women’s Super League Spring Series
2017

Women’s FA Cup
2015, 2018

Women’s League Cup
2020

Women’s Community Shield

Hii ni takataka
 
Ukweli unaokereketa hiki kikundi cha wakwavi hakina tofauti na timu za ndondo cup. Misosi fc, kibada one, ukwamani, mabibo market, abajalo, france rangers, abajalo, sifa united, wabishi, nondo, n.k na jamaa uvumilivu ukimshinda kwa vikwazo alivyowekewa ataipeleka timu yake islael itaitwa cheltako tel aviv ikabuluzwe na kina maccabi haifa, jiandaeni kisaikolojia kufuatilia ligi ya kiyahudi
 
Jamaa una uwezo mdogo sana kichwani. Na sijui kama huwa unapitia tena ulichoandika kuona ujinga wako ulivyo mkubwa. Chelsea as a bland pamoja na pitch ni mali ya mashabiki. What's wrong club kubaki mikononi mwa mashabiki ili kuizuia isiporwe na mtu mmoja kwa mtakwa binafsi. Angalia Arsenal jinsi tajiri anavyowatesa mashabiki miaka 17 hamna hata cha kujitetea mpo mnapelekeshwa kama mbuzi tu. Na yule jamaa atawashusha daraja kabisa na hata akiamua kuibadilisha timu yenu jina anaweza kuiita hata washika manati lakini siyo Chelsea. Chelsea mashabiki ndiyo wenye maamuzi hayo
 
Naon wadau mnasumbuliwa san na maneno ya kuhus timu kukodishwa , sijui kuitw mkodisho fc

Cha kufany mtu akiandika ujinga usimjibu wala kumqoute ,ukimjibu unampa kichwa wew potezea tu ao akina dully jr wanapenda tu kuwazingua baadhi ya mashabiki wanajua t watapanic
So solution kutojibu ukion ngumu sana ignore tu usione anachopost
Binafsi huyo dully jr hanipi shida kwa maneno yake
 
Jamaa una uwezo mdogo sana kichwani. Na sijui kama huwa unapitia tena ulichoandika kuona ujinga wako ulivyo mkubwa. Chelsea as a bland pamoja na pitch ni mali ya mashabiki. What's wrong club kubaki mikononi mwa mashabiki ili kuizuia isiporwe na mtu mmoja kwa mtakwa binafsi. Angalia Arsenal jinsi tajiri anavyowatesa mashabiki miaka 17 hamna hata cha kujitetea mpo mnapelekeshwa kama mbuzi tu. Na yule jamaa atawashusha daraja kabisa na hata akiamua kuibadilisha timu yenu jina anaweza kuiita hata washika manati lakini siyo Chelsea. Chelsea mashabiki ndiyo wenye maamuzi hayo
Hahhahahahahajajajam
Ąiseeeeeeeeeehhhhhh usikasirike mkuu, daima ukweli unakuwaga hivyo mtamu kutema na mchungu kumeza,

Unabaki umetoa macho tu...

Hilo povu ni la sabuni mpya iitwayo mkodisho soap
 
MKODISHO FC

  • NO Stadium
  • NO Name
  • NO History zaidi ya ile ya kushuka daraja mara 6 (1910, 1924, 1962, 1975, 1979 and 1988).

Hawa ndiyo Mkodisho wanaojiita Timu kubwa.
 
MKODISHO FC

  • NO Stadium
  • NO Name
  • NO History zaidi ya ile ya kushuka daraja mara 6 (1910, 1924, 1962, 1975, 1979 and 1988).

Hawa ndiyo Mkodisho wanaojiita Timu kubwa.
Kuna jamaa hapo juu anasema wao mashabiki wanamiliki kiwanja na jina, alafu Roman anamiliki wachezaji, nimecheka sana dah,
Sasa tofauti yao na Njombe mji iko wapi?
 
MKODISHO FC

  • NO Stadium
  • NO Name
  • NO History zaidi ya ile ya kushuka daraja mara 6 (1910, 1924, 1962, 1975, 1979 and 1988).

Hawa ndiyo Mkodisho wanaojiita Timu kubwa.
Basi unawashwaaaa mwenyewe, wakunaji hatutaki kukukuna kipele chako kidogo.
 
Mnashińda dhidi ya nani? Relegator...
IMG-20201127-WA0005.jpg
 
MKODISHO FC

  • NO Stadium
  • NO Name
  • NO History zaidi ya ile ya kushuka daraja mara 6 (1910, 1924, 1962, 1975, 1979 and 1988).

Hawa ndiyo Mkodisho wanaojiita Timu kubwa.
Tumekodisha sisi ila kuteseka mnateseka nyie. Duh!
 
Wewe hujafafanua vizuri kwa sababu za kishabiki na hutaki kwa makusudi kunyoosha maneno
  • Abramovic anamiliki Chelsea FC PLC - Yeye hamiliki Chelsea FC PLC bali anamiliki Fordstam Limited ambayo ndio mmiliki wa Chelsea FC PLC
  • Mashabiki (CPO) wanamiliki Uwanja na Jina - sawa ambayo CPO inamilikiwa na Chelsea FC PLC
  • CPO wamewakodisha uwanja Chelsea FC kwa miaka 199 - ni sawa kuwakodisha kwa sababu wao wana legitimacy kisheria waliopewa na Chelsea FC PLC kumiliki kiwanja kwa niaba ya Chelsea FC PLC, mwishoi wa siku mapato ghafi yanarudi Chelsea FC PLC
  • Abramovic hana haki kwenye uwanja na Jina la Chelsea - Mambo ya kisheria hutaweza kuelewa hasa ukiwa Bongo. Yeye yuko mbali sana kimprotokali na CPO na hataweza kufanya hivyo kwa sababu za kisheria.
Kwa ufupi structure ya Chelsea ni complex na Liverpool hamuwezi kuijua kwa sababu Liverpool is a very small entity na hizi complexity za Chelsea huko hakuna
Taasisi inavyozidi kuwa kubwa inapitia kwenye complexity kama hizi zinazoforce kugawanywa kisheria na ikisha kuwa hivyo haviingiliani isipokuwa kwa taratibu zilizowekwa kisheria
Mwamba shida ipo kwenye elimu ya maswala ya kifedha na sheria Kinggwaba na dully nitaje wazi ni LAYMEN kwenye maswala haya kama wanahitaji ufafanuzi wa umiliki wa Chelsea waulize tu .watu hawajui maana ya Parent company ,controlling parties ,subsidiaries wanabwatabwata humu jukwaani ,kiufupi wapuuzeni shida ni elimu elimu mpaka umejua maana ya parent company ,controlling parties na subsdiaries hauwezi discuss Chelsea plc .Au Group of company yoyoye .itoshe kusema Blue is the colour
 
Chelsea fc Halisi tunataka uwanja mpya. Tumechoka kuendelea kutumia uwanja kasha la kiberiti. Tote hawana mafanikio yoyote lakini wanalo bonge la uwanja. Katika timu zote za top 6 zina viwanja vikubwa sasa ukubwa wetu ni upi ndani ya top 6 kama tunashindwa kujenga uwanja mkubwa wa kisasa?
 
Hakim Ziyech - Big chances created.

Ziyech 20-21: 7 big chances created in 9 games

Willian 19-20: 14 big chances created in 43 games

Hazard 18-19: 18 big chances created in 32 games

Hazard 17-18: 14 big chances created in 42 games

Fabregas 16-17: 11 big chances created in 29 games

[PL and CL only]

No words needed, we are witnessing a magician at work. 🧙‍♂

#CFC #Ziyech
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom