Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivyo vimji tudogo kama Liverpool na Manchester unataka kulinganisha na London, ni kama Lushoto na Dar es salaam

Huwezi kukuta klabu kinatumia jina London city kama manchester city au eti timu inaitwa London FC kama inavyoitwa Liverpool FC. London is Great
1 London = 1,000 Liverpool

Hiyo comparizon uache mara moja
Tatizo ni kwamba nyinyi ni kikundi cha wakwavi sio FC
 
Tulikuwa tunalalamika hapa Lampard anamkosea Sana Giroud kumuweka benchi angalia anavyoumbuliwa Kitu ambacho kinanifanya nimpende Giroud anajua kutumia vizuri nafasi anaweza kupata nafasi 1 na akaconvert kuwa goal
 
Hawa ndio wanasababisha tunafungiwa internet kwa kudiscuss upuuzi, Arse888 ndio walichobak kushabikia hicho tu na unbeaten hamna kingine. Wanasahau wameshakua pombe ya ngomani.

Cheltyako hammiliki jina wala uwanja, mnamiliki vishundu vya kina RLC na ODOI
 
Cheltyako hammiliki jina wala uwanja, mnamiliki vishundu vya kina RLC na ODOI
Watu kama wewe ndio mnapendwa na Ngwaba kakuaminisha umejaa tayari. Hiyo mada aijajua imetokawapi ila nimesoma comment yake moja nikagundua chuki kubwa ndaniyake na anakulazimisha na wew utuchukie.
 
Watu kama wewe ndio mnapendwa na Ngwaba kakuaminisha umejaa tayari. Hiyo mada aijajua imetokawapi ila nimesoma comment yake moja nikagundua chuki kubwa ndaniyake na anakulazimisha na wew utuchukie.
MKUU, mimi sio bendera fuata upepo... ukifukunyua makaburi utaona kuwa suala viwanja nimeshawahi kulizungumzia humu, ilă sio katika angle hii anayoiongelea ngwaba the
 
Watu kama wewe ndio mnapendwa na Ngwaba kakuaminisha umejaa tayari. Hiyo mada aijajua imetokawapi ila nimesoma comment yake moja nikagundua chuki kubwa ndaniyake na anakulazimisha na wew utuchukie.
SINA CHUKI NA VIBONDE WANGU MKUU
 
Kwa upnd wang match ya Leo kipind cha kwanz tumcheza ovyo sana
Wachezaji kupoteza pass kizembe sana
Then second half timmo Werner hkuwa clinical kabisaa anapoteza umakini mbele ya goli
Azpi pumzi zmeanz kukta anchok mpema
Then jorginho stail yake inatuumiza sana
Giroud needs more minutes to play
All in all muhimu ushindi
Next game with spurs
 
Hili swala lipo kisiasa zaidi na hapo ndipo libakwamisha juhudi za mwekezaji. Uwezo alionao the BOSS hawezi kushindwa jambo dogo kama hilo ila ni serikali yrnyewe ya Uingereza ndio inatia ngumu jambo kama hilo. Mfano fuatilia issue ya yule mwarabu anayetaka kufanya uwekezaji club ya Newcastle limeishia wapi! Unakuja kugundua kuna mambo mengi yanafanyika kuua juhudi Zao
MKUU, mimi sio bendera fuata upepo... ukifukunyua makaburi utaona kuwa suala viwanja nimeshawahi kulizungumzia humu, ilă sio katika angle hii anayoiongelea ngwaba the
 
Tumekubaliana Jmos tukutane vikindu tukafyeke ili greda lije kuanza kazi. Pia kutakua na kazi yakuchimba msingi ili kujenga hostel za kina Kai na Odoi. Mje na nyengo na majembe
 
Tumekubaliana Jmos tukutane vikindu tukafyeke ili greda lije kuanza kazi. Pia kutakua na kazi yakuchimba msingi ili kujenga hostel za kina Kai na Odoi. Mje na nyengo na majembe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom