Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mnachobishana sijaona tija yake, wabongo bana, wenzenu wanapiga hela ndefu maisha yanasonga mbele wewe hata hela ya kula huna umekaa kutaja mara ooo fulham, mara oooo abramovic. Hizo historia waachie wenyewe, hiyo timu unayoishabikia ambayo inamiliki uwanja na wachezaji wewe unafaidikaje ? Cha msingi shabikia timu unayoipenda hayo mengine waachie wazungu ww hayakusaidii
Mkuu mi nilishasema kuna watu wakikosa content kisoka wanatoka off pitch...Its funny
 
Kwa upnd wang match ya Leo kipind cha kwanz tumcheza ovyo sana
Wachezaji kupoteza pass kizembe sana
Then second half timmo Werner hkuwa clinical kabisaa anapoteza umakini mbele ya goli
Azpi pumzi zmeanz kukta anchok mpema
Then jorginho stail yake inatuumiza sana
Giroud needs more minutes to play
All in all muhimu ushindi
Next game with spurs
Werner huenda akawa amechoka naye....back to back games za international na ligi huenda zimemfanya exhausted....angepaswa apumzishwe km kina kante 1st half
 
Chelsea tunaposhinda wala husikii mikeke na majigambo watu tumetulia kimyaa, ni timu ya wastaarabu. Ingekua ni wale jamaa zetu daaa, sipati picha,
 
Tatizo munafunga vibonde, sasa utashangilia je?

Siku ukibahatika kuifunga timu kubwa kama Manchester United, lazima ukeshe ukishangilia.

Rudi nyumbani kijana, kwani huna kwenu?
Unaacha kuturia home, kazi kuzunguka majumbani mwa watu, hata wakipika nusu unataka kwenda nao suti.
Jipya unaliona sema unajitoa fahamu, mwenzako kashauri mkafyeke vikindu huko...
Kisha mjadiliane jina la timu
 
kwely tukishinda watu wanateseka n unbeaten mech10 tu washaanza kutuletea makala za kina mosenya & ruhundwa. ngoja tuwaskilize2 dawa ikiendelea kuwaingia
IMG-20201124-WA0029.jpg
 
UKWELI KUHUSU UWANJA WA STANFORD BRIDGE NA JINA LA CHELSEA. TAARIFA ZAIDI YA HII NI UMBOEA WA BONGO

Wambea wa BONGO BANA WANELEZEA VITU HATA VILE VYA KISHERIA KAMA WAKULIMA WA TURIANI
Kisheria jina likishasajiliwa mmiliki ni huyo anayeown kampuni, hizo stori zingine ni bulshit

Mmiliki wa uwanja wa Stanford Bridge ni non profit company inayomilikiwa na Chelsea PLC ambayo imepewa wajibu wa kusimamia hicho kiwanja, haya ni masuala ya sheria za makampuni na uendeshaji wa biashara, mtu asiye na hii elimu atapotosha tu

Maelezo zaidi kama hujui sheria na kiingereza pita kushoto
...............................................................................X.....................................................................X...............................................................................X.....................................................................

Chelsea FC PLC is the company which owns Chelsea Football Club. The ultimate parent company of Chelsea FC plc is Fordstam Limited and the ultimate controlling party of Fordstam Limited is Roman Abramovich.

Chelsea Pitch Owners plc is a nonprofit organization which is part of Chelsea Football Club, tasked with the upkeep of the stadium. It owns both the freehold of the Stamford Bridge stadium and the naming rights of Chelsea Football Club.
 
Tatizo munafunga vibonde, sasa utashangilia je?

Siku ukibahatika kuifunga timu kubwa kama Manchester United, lazima ukeshe ukishangilia.
Kwa maneno ya kanga hujambo, hiyo akili ungeipeleka kwenye ujasiriamali ingekusaidia sana
 
UKWELI KUHUSU UWANJA WA STANFORD BRIDGE NA JINA LA CHELSEA. TAARIFA ZAIDI YA HII NI UMBOEA WA BONGO

Wambea wa BONGO BANA WANELEZEA VITU HATA VILE VYA KISHERIA KAMA WAKULIMA WA TURIANI
Kisheria jina likishasajiliwa mmiliki ni huyo anayeown kampuni, hizo stori zingine ni bulshit

Mmiliki wa uwanja wa Stanford Bridge ni non profit company inayomilikiwa na Chelsea PLC ambayo imepewa wajibu wa kusimamia hicho kiwanja, haya ni masuala ya sheria za makampuni na uendeshaji wa biashara, mtu asiye na hii elimu atapotosha tu

Maelezo zaidi kama hujui sheria na kiingereza pita kushoto
...............................................................................X.....................................................................X...............................................................................X.....................................................................

Chelsea FC PLC is the company which owns Chelsea Football Club. The ultimate parent company of Chelsea FC plc is Fordstam Limited and the ultimate controlling party of Fordstam Limited is Roman Abramovich.

Chelsea Pitch Owners plc is a nonprofit organization which is part of Chelsea Football Club, tasked with the upkeep of the stadium. It owns both the freehold of the Stamford Bridge stadium and the naming rights of Chelsea Football Club.

Wewe endelea kugoogle na kuzunguka Mbuyu kujificha kwenye kichaka cha msamiati wa Sheria lakini Summary ya uliyoyaandika ni Hii.

• Chelsea Football Club - Mmiliki wake ni Abramovic.

• Stamford Bridge haimilikiwi na Roman Abramovich wala Chelsea Football Club. Instead, the freehold of the ground and the naming rights of the stadium vinamilikiwa na Chelsea Pitch Owners PLC (CPO).
- Je ni nani hao CPO (Chelsea Pitch Owners?)
Jibu fungua Link ya Official website yao hapa Chini 👇uone kama tunawadanganya Watu au wewe ndiye unayetaka kuwaaminisha Watu usichokijua.

Kwenye hiyo Website yao kuna maneno haya 👉 "Chelsea Football Club is not responsible for the content on the Chelsea Pitch Owners website" Sasa jiulize kwanini wamejitenganisha na Chelsea FC kwenye maudhui yao wanayopost mtandaoni? Kwanini wawe na Website yao binafsi badala ya kutumia ile ya Timu? Huoni kuwa ni Organization inayojitegemea?

Kwa Taarifa yako Uwanja mumekodishwa kwa miaka 199.

Na hao CPO uliohadaika na neno "PART OF THE CHELSEA FOOTBALL CLUB" unajua maana ya maneno hayo?

Maana yake wao ni Washabiki/Member wa Chelsea! Lakini hawana ushirika wowote na Chelsea FC katika umiliki wala hawana hisia pamoja na Abramovic.

Wao CPO wana hisa zao mbali ambazo ni 21,000 ambazo si za kibiashara.
 
Hao ni mashabiki wa Liverpool, wewe ndio hujui mlolote
 
Kujitendanisha na Chelsea kwa sababu CPO ni independednt institution ndani ya compuni8 kubwa moja inayoitwa Chelsea PLC, Hata kama mmiliki ni mmoja mambo ya organization management kama umesoma vizuri we mkulima wa turiani, taasisi ikikomaa au kuwa kubwa ili kuondoa complexity kwenye management inafanywa kuwa independent kiutawala except kwenye ownership. Kisheria inashitakiwa kivywake na inashitaki kivyake. Kuwa part of Chelsea PLC ni evidence kuwa inamilikiwa na Chelsea FC
Katafuta mwanasheria akushauri maana hata mimi nikueleze kwa wino wa debe hutaelewa

To understand this unique company, you have to know a little history.​

In the 1980s Chelsea FC was under threat from property developers who wanted to change Stamford Bridge into a housing development, which would have meant that the club would have to find a new home, possibly sharing with another club.
This was strongly opposed by the then Chairman of the club, Ken Bates, who eventually obtained the freehold in the ground in the early 1990s.
In order to ensure that we never again had the threat of being evicted from our ground, the club decided to set up CPO to guard against it, by selling shares to ordinary fans. The club loaned CPO the money to pay for the freehold, and CPO is duty bound to repay this to the club. CPO lease the ground to the club for a period of 199 years starting in 1997.
The structure of CPO, is such that no one person can unduly influence the company, and in the event of the club wishing to move, they either have to surrender the name Chelsea FC to CPO, or to obtain the permission of CPO to do so.
WHAT EXACTLY DOES CHELSEA PITCH OWNERS OWN?
Through a wholly owned subsidiary (Chelsea Stadium Limited), CPO own the freehold of the footprint of the current stadium. The physical evidence of this is seen in the change in brick colour on the ground in places such as outside the megastore. This indicates the boundary. The stadium is leased back to Chelsea, who pay a nominal rent to CPO.
DOES CHELSEA PITCH OWNERS RUN THE STADIUM?
No. We lease the stadium to the club, who run the stadium, and everything to do with it.
HOW DOES CHELSEA PITCH OWNERS REPAY ITS LOAN TO CHELSEA?
CPO sells shares each year, and 85 per cent of the nominal value of each share is payed to the club as repayment on the loan.
HOW DOES CHELSEA PITCH OWNERS STAY IN BUSINESS?
Even though there is a clause in our lease to the club that ensures that its debts can be paid, CPO tries to break even each year through selling shares in special ways, such as signed by players, or presented on the pitch, and through events such as dinners and tournaments.
 
Wewe endelea kugoogle na kuzunguka Mbuyu kujificha kwenye kichaka cha msamiati wa Sheria lakini Summary ya uliyoyaandika ni Hii.

• Chelsea Football Club - Mmiliki wake ni Abramovic.

• Stamford Bridge haimilikiwi na Roman Abramovich wala Chelsea Football Club. Instead, the freehold of the ground and the naming rights of the stadium vinamilikiwa na Chelsea Pitch Owners PLC (CPO).
- Je ni nani hao CPO (Chelsea Pitch Owners?)
Jibu fungua Link ya Official website yao hapa Chini 👇uone kama tunawadanganya Watu au wewe ndiye unayetaka kuwaaminisha Watu usichokijua.

Kwenye hiyo Website yao kuna maneno haya 👉 "Chelsea Football Club is not responsible for the content on the Chelsea Pitch Owners website" Sasa jiulize kwanini wamejitenganisha na Chelsea FC kwenye maudhui yao wanayopost mtandaoni? Kwanini wawe na Website yao binafsi badala ya kutumia ile ya Timu? Huoni kuwa ni Organization inayojitegemea?

Kwa Taarifa yako Uwanja mumekodishwa kwa miaka 199.

Na hao CPO uliohadaika na neno "PART OF THE CHELSEA FOOTBALL CLUB" unajua maana ya maneno hayo?

Maana yake wao ni Washabiki/Member wa Chelsea! Lakini hawana ushirika wowote na Chelsea FC katika umiliki wala hawana hisia pamoja na Abramovic.

Wao CPO wana hisa zao mbali ambazo ni 21,000 ambazo si za kibiashara.
Naomba ukawadanganye kule Liverpool fans wenzako wasioelewa, huku tumekushtukia na UONGO WAKO
 
King Ngwaba atueleze bila maneneo mengi nini maana ya
Chelsea Pitch Owners plc is a nonprofit organization
which is part of Chelsea Football Club
 
Chelsea Pitch Owners.
Dully usiwe mpumbavu. Mbona timu nyingi zinamilikiwa na matajiri zaidi ya mmoja? Sasa kuna kosa gani mashabiki kumiliki uwanja wao na jina la timu alafu tajiri akabaki na timu? Hiyo inahitaji akili kubwa kuelewa? Chelsea na Stanford bridge wamiliki ni mashabiki, tajiri anamiliki timu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom