lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,489
Sawa Yahe, inabidi upewe uprofesa kwa kuandika andiko zuri sanaKuonesha kuwa Kigenge chenu ni cha kuungauunga haimiliki Jina la Mji (Ipo ndani ya Fulham) tofauti na Newcastle, Manchester, Liverpool, Sunderland, Leeds n.k.
Haina Uwanja, imekodi.
Haimiliki Jina, imekodi.
Haiwezi kufanya maamuzi ya uboreshaji miundombinu, Mpaka watake waliokodisha uwanja na Jina.
Halafu munataka kushindana na Arsenal Timu iliyokamilika?
CC: DullyJr


