Unapoteza muda wako kumjibu huyo Ni dishi linaloyumbaUmeona uchezaji wake au kwasababu hajafunga goli?
Tuliza wenge mkuu dogo kacheza vizuri. Movement yake ipo sawa kabisa.
Husipime ubora wa mchezaji kwa kufunga goli. Ingekuwa ivo basi wote wasiofunga magoli wasingekuwa wanacheza uwanjani
Zitaje hizo penalt 9Chelsea have had 9 penalties this season but you won't hear a word because they aren't Manchester United.
[emoji23] Sijawahi tukana mtu humu, labda nikuulize unajiweza! Usije omba poo... [emoji23] [emoji23] Maana wengine sio wa kutujia kichwa kichwa, nitฤkunyoosha.Ulitaka tupewe huko nyuma kwako??
Hahahaha ni kawaida mtu mzima kujisahau mkuu..tumchukulie huyu ndugu yetu kama watu wengine wenye matatizo๐๐๐
Huyu dogo kuna Muda zinarukaga..Wewe ndugu unapenda kusema uongo eti hujawahi mvunjia heshima shabiki yoyote wa Chelsea na bado hapo hapo unafanya haya. Utasema ni utani ila kwa mwanaume kuwekwa kwenye kundi la wanawake ni dharau kubwa sana labda wewe unaweza kufurahia ila mimi umenikwaza.
[emoji2765] Lindelof aliambiwa pia hivi hivi na Vidic, 'hata kufa ufe mpira usikupite.'Huyu Ben Chilwell sio yule wa Leicester City
Kakutana na Ashley Cole akamshauri kwa maneno mawili tu"WORK HARD"
Baada ya hapo tumtegemee Chilwell ambaye kazaliwa upya
Mashabiki wa Chelsea wataipenda hiyo
Chilwell reveals Chelsea great Cole told him to โdie for the badgeโ after sealing ยฃ50m move | Goal.com
Juzi milner kaunawa mpira ndani ya boksi kwa kutambaa nao, mambo ya anfield hayo, upewe nini tena!View attachment 1589348
Enyi Washabiki wa Chelsea na wale wa Man United! Siku Liverpool itakapopata neema ya Penalty basi nawaomba muwe Watulivu kama mulivyo kipindi hichi.
Zile kauli za kuwa tunabebwa kila inapotokea kuzawadiwa Penalty basi zisije zikaanza kuwa ndiyo Nyimbo yenu utadhani nyinyi hamupewi.
Penalty ni haki ya kila Timu kupewa pale madhambi yanapofanyika.
Asanteni.
Takataka kama takatakaMshabiki nguli wa Crystal Palace, nitakuwa hapa kumwaga updates kama zoศe, tuwe pamoja
Here we go.
Chel 2 Crystal Palacฤ 5
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2089][emoji2089]Takataka kama takataka
Sasa rasmi, Leeds United ni tishio kama Corona EPL
Sisi mbona tupo cool kwenye majukwaa yetu mkuu๐๐Southern Highland Ollachuga Oc mnavopiga kelele kwenye majukwaa ya watu mtazani mna timu ya maana kumbe full UTOPOLO .Yaani mngekuwa mnacheza mpira level ya Liverpool au Man City nahisi tungejipiga ban.
Kesho utakuwa liverpool ama utabaki huku kwetu๐๐๐London is Blue ๐๐๐ฅ
Chelsea 4- 0 Crystal palace.
Kesho Chelsea hana jambo, Aston villa vs Liverpool. Nitakuwa Liverpool ๐๐Kesho utakuwa liverpool ama utabaki huku kwetu๐๐๐
Benchillwel Ni new Ashley Cole nimependa Sana leo Silva Kacheza no 5 badala ya no 4 aliyokuwa anapangwa na Lampard.I love partnership ya Silva na zouma.Niliwahi kusema hapa Mendy utakuwa Ni best usajili wa Chelsea kuliko zote now I see this Ni kipa mtulivu na ataokoa point nyingi Sana zetu.
Ushindi wetu Ni wa kumkaribisha the king himself Pulisic.