DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,878
Huyo mende ni mavi tu[emoji1][emoji1][emoji1]Mendy hata penalty moja hajadaka
New Kepa in town
Huyo mende ni mavi tu[emoji1][emoji1][emoji1]Mendy hata penalty moja hajadaka
New Kepa in town
Mtu kila penat ikipigwa anageuka tu, aaaaahh kuweni serious, hapo mmepigwaHii game haikupaswa kufika kwenye pk
Tulishindwa kuimaliza game katika wakati spurs washakubal kufungwa
Ila huyu mendy tumepata kipa hapa mech yake ya 1 kafanya save za muhim kwa kepa pale tulikuwa tunahesab magoal
SawasawaKwa mpira huu tunaowachezea spurs. Ni sawa na kuwabaka mchana kweupe [emoji2484][emoji2484]
Weka na 2nd goal, nasubiri1st goal.WernerView attachment 1585021
Mbona kama una jambo unataka kusema? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lampard ni taahira mm tu
Weka na 2nd goal, nasubiri
Miss muache huyo asikupelekeshe anashabikia Arse8 ndio maana. Kwanza hajui kama uko nominated kwa Miss JFUnaweza kuweka na wewe mkuu. GIF zipo application ya all football
[emoji23] [emoji23] Sijaona sehemu huyo miss JF mtarajiwa kauliza mm ni shabiki wa timu gani[emoji28]Miss muache huyo asikupelekeshe anashabikia Arse8 ndio maana. Kwanza hajui kama uko nominated kwa Miss JF
JF siku hizi kuna Ma miss uchwara kumbe.[emoji23] [emoji23] Sijaona sehemu huyo miss JF mtarajiwa kauliza mm ni shabiki wa timu gani[emoji28]
Miss wa Southern Highland[emoji1787][emoji1787][emoji1787]JF siku hizi kuna Ma miss uchwara kumbe.
Ngoja nikawapendekeze nyie basi maana kama vile mnamuonea wivuJF siku hizi kuna Ma miss uchwara kumbe.
Miss wa Southern Highland[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimemwambia ivyo ili asihangaike kukujibu akapoteza time yake[emoji23] [emoji23] Sijaona sehemu huyo miss JF mtarajiwa kauliza mm ni shabiki wa timu gani[emoji28]