Katika mechi za hivi karibuni na katika mazoezi Rudiger hafanyi vizuri tofauti na Christensen na Zouma
"On Rudiger, I’ve got five centre-backs at the club. I can’t pick a squad that has three of them on the bench,’ said Lampard. ‘That’s the way it is,
I have to pick the squad via training and situations and the opponents and that was a selection one today.’"
Ubora wa jana na juzi kwenye ligi yenye ushindani kama EPL haimati sana
FL anasema hao wanaopangwa ndio wanaofanya vizuri kwenye mazoezi na hawezi kuwaweka benchi CB watatu
Kumbuka sasa kuna CB literally wako sita pamoja na Azpi
- Silva
- Zouma
- Christensen
- Tomori
- Rudiger
- Azpi
Wanaotakiwa kucheza ni wawili na ikizidi sana benchi wanatakiwa wawili kwa sababu jumla ya benchi wanaotakiwa ni 7
- Striker 1
- Winga 1
- Viungo 2
- Mabeki 2 (CB na LB/RB)
- Kipa moja
Azpi huwezi kumuacha kama yuko fiti kwa sababu anaweza cheza CB, LB na RB
Kama Zouma na Christasen wakicheza lazima wawili watokomee nje ya benchi kabisa kati ya Rudiger, Silva na Tomori
Kama Zouma na Silva wakicheza lazima aidha Christesen, Tomori au Rudi akae benchi na wawili wasepe
Anayekaa benchi au kucheza ni yule aliyefanya vizuri kwenye mazoezi
Wakirudi akina Pulisic, Ziyech, Ben Chiwell, wachezaji wetu pendwa wengi hata hatutawaona kwenye benchi, ndio shida ya ushindani kwenye timu kubwa
Hao wachezaji pendwa tutakuwa tukiwaona tu kwenye FA na Carabao mechi za Mwanzoni
Wote wakiwa wazima tutegemee wachezaji watakaokuwepo regularl kwenye mechi za EPL ni hawa
- E. Mendy
- B. Chilwell
- T. Silva
- K. Zouma
- C. Azpilicueta
- N. Kante
- Kovacic
- K. Havertz
- H. Ziyech
- C. Pulisic
- T. Werner
Sub
- Kepa
- R. James
- A. Christensen
- B. Gilmour
- Mason Mount
- H. Odoi
- Tammy Abraham
Hali ya hewa inaelekea kuwa hivyo ndio maana kuna wachezaji wengi wataforce kuondoka kabla dirisha halijafungwa aidha kwa mkopo au kuuzwa one of them ni akina
- Tomori
- Rudiger
- Alonso
- Jorginho
- RLC
- Ross Barkley